Kamilisha habari yako. Mike Pompeo, ana sababu za kunyimwa ulinzi.Trump kaingia ofisini juzi tu, lakini huko Marekani hawapoi.
Trump amewaondolea viongozi wastaafu ulinzi na kutaka jukumu hilo la ulinzi wajigharamie wenyewe.
“Nimewaondolea Ulinzi wa Kiserikali kwasababu walifanya kazi serikalini na naamini walitengeneza fedha za kutosha sana hivyo wanaweza kuajiri Walinzi wao binafsi, kufanya kazi serikalini haina maana ubaki na Walinzi maisha yako yote”
-Rais Donald Trump baada ya kuwaondolea Walinzi Viongozi mbalimbali wastaafu wa serikali ya Marekani.
c magufuli alikuwanakifanya hio mkawa mna mpingaHii ikija na huku kwetu itapunguza ufisadi na uonevu
Unauhakika nilimpinga??c magufuli alikuwanakifanya hio mkawa mna mpinga
wajinga ndiwo waliwao , tumelala , wasyria waliamka wakamwondosha Assad sisi tumekaa kama kuku waliomwagiwa majiHii ni nzuri.Mfano Tanzania ukiwa kiongozi kama rais,waziri mkuu,makamu,balozi,jaji,wakuu wa vyombo vya ulinzi pamoja na waliositaafu na wengine unakuwa kama mtoto mchanga.Yaani unahudumiwa Kila kitu kuanzia nyumba,magari,matibabu iwe hapa nyumbani au nje,kupewa Nchi utakayo ili ukatalii,kusomesha mtoto wako shule au chuo utakayo kama Harvard endapo mwanae atakubaliwa kwenye hicho chuo wakati huohuo halipii maji,umeme,gesi,chakula.Sasa ukijumulisha Hawa viongozi wote na waliositaafu unaona kabisa watanganyika tunakamuliwa Kodi ili kuwahudumia Hawa wakati huohuo wanapokea mshahara sijui wa kazi gani
sasa kama we kidume nani anakuzuia c utafute wahuni wenzio afu mjongee pale magogoni mkamtoe samia na ccm yakewajinga ndiwo waliwao , tumelala , wasyria waliamka wakamwondosha Assad sisi tumekaa kama kuku waliomwagiwa maji
sasa kama we kidume nani anakuzuia c utafute wahuni wenzio afu mjongee pale magogoni mkamtoe samia na ccm yake
hatutaki fujo zenu sisi umechoka kuishi nchi mama tanzania nzuri na ya kupendeza toka nenda huko congo au somaliu
Safi hivyo ndivyo inavyo takiwa kuwa.Trump kaingia ofisini juzi tu, lakini huko Marekani hawapoi.
Trump amewaondolea viongozi wastaafu ulinzi na kutaka jukumu hilo la ulinzi wajigharamie wenyewe.
“Nimewaondolea Ulinzi wa Kiserikali kwasababu walifanya kazi serikalini na naamini walitengeneza fedha za kutosha sana hivyo wanaweza kuajiri Walinzi wao binafsi, kufanya kazi serikalini haina maana ubaki na Walinzi maisha yako yote”
-Rais Donald Trump baada ya kuwaondolea Walinzi Viongozi mbalimbali wastaafu wa serikali ya Marekani.
Ni ujinga sana Tena kama hapa kwetu nchini ukara ndo hovyo kabisa,Hii ni nzuri.Mfano Tanzania ukiwa kiongozi kama rais,waziri mkuu,makamu,balozi,jaji,wakuu wa vyombo vya ulinzi pamoja na waliositaafu na wengine unakuwa kama mtoto mchanga.Yaani unahudumiwa Kila kitu kuanzia nyumba,magari,matibabu iwe hapa nyumbani au nje,kupewa Nchi utakayo ili ukatalii,kusomesha mtoto wako shule au chuo utakayo kama Harvard endapo mwanae atakubaliwa kwenye hicho chuo wakati huohuo halipii maji,umeme,gesi,chakula.Sasa ukijumulisha Hawa viongozi wote na waliositaafu unaona kabisa watanganyika tunakamuliwa Kodi ili kuwahudumia Hawa wakati huohuo wanapokea mshahara sijui wa kazi gani
wacha wapige pesa hata kama wakiiba hata we ukiwekwa kwenye hizo nafasi utpiga helaUsipige kelele watu wakipiga pesa, wacha mpaka hawara zao walipiwe
Huo ulinzi si upo kikatiba inakuwaje nchi tunayoaminishwa kuw ina taasis na wala sio mtu rais anaamua tu kila kituTrump kaingia ofisini juzi tu, lakini huko Marekani hawapoi.
Trump amewaondolea viongozi wastaafu ulinzi na kutaka jukumu hilo la ulinzi wajigharamie wenyewe.
“Nimewaondolea Ulinzi wa Kiserikali kwasababu walifanya kazi serikalini na naamini walitengeneza fedha za kutosha sana hivyo wanaweza kuajiri Walinzi wao binafsi, kufanya kazi serikalini haina maana ubaki na Walinzi maisha yako yote”
-Rais Donald Trump baada ya kuwaondolea Walinzi Viongozi mbalimbali wastaafu wa serikali ya Marekani.
wacha wapige pesa hata kama wakiiba hata we ukiwekwa kwenye hizo nafasi utpiga hela
mradi tunafurahia nchi yetu pendwa hatutaki vita na fujo
we nenda huko ukrain kama unataka vita na fujo kapigane huko