Trump awaonya Wamarekani kutotumia Paracetamol, adai zinasababisha usonji(autism)

Trump awaonya Wamarekani kutotumia Paracetamol, adai zinasababisha usonji(autism)

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hili taifa kwa sasa linaongozwa na watu ajabu ajabu sana, yani Trump na Tanzania wa Afya/bush dokta RFK Jr sasa hivi ndio wako mstari wa mbele kutoa elimu ya afya. Sasa hivi wamekuja na kituko eti kwamba paracetamol zikitumiwa na wajawazito watoto wanazaliwa na usonji(autism)!
Screenshot_20250923_184420_X.jpg
20250923_184312.jpg
 
Huyu ni yule mwingizaji Morgan Freeman ndo kapost hiyo nimeona pale jina lake aisee
 
Bamizaneni.

Trump anapokea taarifa zote za kiintelijensia usimbishie.
 
Ni wapi Trump amesema au kuandika hayo? Coz aliyeandika hapo ni Muigizaji Morgan Frerman
 
Back
Top Bottom