Trump aweka mguu usawa Nyambizi tayari kuishambulia Urusi ikiwa watamlazimisha

Trump aweka mguu usawa Nyambizi tayari kuishambulia Urusi ikiwa watamlazimisha

Nyie jamaa huwa hampendi shule kabisa. Sijui kwa nini. Mpaka akuambie sheikh Kitinku? Imeandikwa kabisa DW na bado unauliza source of info? Au umekariri swali?
Hatupendi shule kwakuwa tunakhofu tusije kuwa mashoga kama wewe
 
Dogo hujui kitu nyamaza. Unataka kusema rahis wetu hawezi zungumzia vita au anapozungumzia vita ni yeye anaamua na mtu wake room? Nyie madogo hampendi kujisomea kabisa. Mnakaa kucheza singeli na kuvaa vipedo.
Ndo nini sasa man
 
Hahahha uwa nacheka sana na hizi Dv 1 za Kanisa unajiita msomi hata kuandika Rais unashindwa unaandika Rahisi hali hiyo unasema wewe msomi ungekuwa ujaenda shule ingekuaje😂

No.huyu si Rais. Ni RaHIS huelewi uandishi wangu. Huyu Rahisi ni kilaza. Mpaka tukija pata Rais ndo tutapata maendeleo ya nchi.
 
Back
Top Bottom