Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Additional;
13. Rais Putin kasema ataanza kuuza Russian Oil in US Dollars (kumbuka kipindi cha Biden mpango wa Putin ulikuwa ni kuharibu kabisa thamani ya dollar)
Weka chanzo cha hiyo taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Additional;
13. Rais Putin kasema ataanza kuuza Russian Oil in US Dollars (kumbuka kipindi cha Biden mpango wa Putin ulikuwa ni kuharibu kabisa thamani ya dollar)
Kwa hiyo utakuwa mwisho wa BRICS?Additional;
13. Rais Putin kasema ataanza kuuza Russian Oil in US Dollars (kumbuka kipindi cha Biden mpango wa Putin ulikuwa ni kuharibu kabisa thamani ya dollar)
kp kipanya44 special ambassador wa Ukreni, nasikia huna hamu na taarifa yoyote ya kimataifa kwa sasa. Trump amewarahisishia ule mkwamo wenu.Donald Trump na Putin wanaelewana sababu wako Diplomatic ila Biden alikuwa na tabia za kike. Yeye na genge lake ni kufanya jambo ilimradi wakukomeshe 🤣 bila kujali atapata athari kiasi gani. Putin akaamua nae aanzishe genge lake ili awanyong'onyeze wakina Biden kabisa kwa kuwavuruga vuruga tu kimipango 😄
Kwa nini tusigemee Trump ashughulikie mzozo wa Irani vs Israeli kama ule wa Urusi na Ukreni?Sasa ndiyo muda wa kuumbuka iran.
Kama mambo yataenda kama alivyosema Trump basi anaenda kumaliza vita ya urusi na Ukraine na kuingia makubaliano.
Baada ya hapo marekani anaenda ku deal na Iran na urusi itakaa pembeni ikiangalia bila msaada wowote kwa Iran.
Kama jeuri ya Iran ilitokana na kumtegemea urusi basi imekula kwake kama alijipanga basi atapambana na hali yake
Kumbuka mkataba wa Minsky ulikuwa ni kati ya Urusi, Ukraine na waasi wa kule mashariki.Unamshawishije jirani ambaye ameamua kuungana na adui yako kukuangamiza?
Kwani Putin alipokuwa anasisitiza Minsk Agreement izingatiwe na still Biden akawa anamjaza sumu Zelensky kuwa atamuunga NATO pamoja na kumpa masilaha ili amvuruge Urusi ulitaka Urusi ikae kimya hadi ivamiwe.
Umeongea mengi matupu, unasahau kitu kimoja cha msingi. Marekani alikuwa anatafuta nini pale Ukreni karibu na Urusi, wakati yeye hataki hasimu wake yeyote amsogezee pua uani kwake?To cut the long story short, Mkataba wa Minsky uliaza kuvurugwa na Russia mwenyewe
Nyie mmesharuhusiwa,nenda na Mumeo mkabarikiwe,ruksa.Hilo jamaa nina uhakika ni shoga 100% kila siku linazungumzia mambo ya ushoga-ushoga, ndo jambo pekee lililojaa kichwani mwake.
Huko lilipo linanuka mavi kwa kuzibuliwa mtaro.
Linabaki kujichekesha kweny comments za mabasha wake.
Vise versa world is important also.Dunia yenye amani ina maslahi kuliko dunia yenye mavita
Ni kawaida kwa mtu kuita asichokipenda kuwa ni nonsense, kamwe hammtumii facts.Umeongea mengi matupu, unasahau kitu kimoja cha msingi. Marekani alikuwa anatafuta nini pale Ukreni karibu na Urusi, wakati yeye hataki hasimu wake yeyote amsogezee pua uani kwake?
Kwamba kusipokuwa na vita hakuna kufa?Vise versa world is important also.
Haiwezekani amani all decade, lazima vipindi vibadirishane ndiyo mfumo wa dunia ulivyo, yaani kuzaliwa, kuishi na kufa.
Overthinking, overthinking, overthinkingList ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
- Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
- Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
- Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
- Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
- Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
- Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
- European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
- Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
- Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
- Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
- Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
- Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.
Marekani inaendeshwa na sera za chama hivyo huwezi kutaja Raisi bila kutaja Chama chake sio kama huku Africa...Nimemzungumzia D. Trump not Republican.
Huyu ndite Rais sasa. Sio kucheka na chura kiziwi,mara anaupiga mwingiList ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
- Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
- Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
- Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
- Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
- Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
- Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
- European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
- Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
- Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
- Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
- Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
- Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.
Kwa Tanzania do you think tuna mtu wa namna hiyo kwasasa? Upinzani na chama tawala; don't think so. Mtu anae heshimu kauri zake na ana msimamo wa jambo analo liamini..., was only JPMList ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
- Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
- Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
- Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
- Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
- Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
- Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
- European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
- Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
- Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
- Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
- Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
- Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.
Wamarekani na Dunia Wana Imani sana na Trump kama Watanzania tulivyokuwa na Imani na Mwamba Magufuli enzi zake.List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
- Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
- Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
- Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
- Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
- Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
- Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
- European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
- Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
- Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
- Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
- Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
- Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.
Hapo mwisho uliposema Tanzania. ✋✋✋. Tundu Lissu ni zaidi ya Trump, lakini angalia mashetani ccm, walimpiga risasi kumuua lakini mungu wa rehema akamuokoa hatimae akawauwa wao kwa kifo kibaya cha kukosa pumzi.List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
- Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
- Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
- Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
- Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
- Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
- Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
- European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
- Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
- Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
- Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
- Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
- Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.
kabla hujamlinganisha Trump na huyo mtu wako, mpe kwanza madaraka ya urais wa nchi. Je, mwenzio amewahi kuwa rais wa nchi gani? Au hata waziri mkuu?Trump is nothing kwa Lissu or Netanyahu