Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

Nadhani Trump anakuja kuharakisha Multipolar system kuanza! Trump ana mind Taifa lake,"make America Greater again" Kutaka kila nchi iangalie mambo yake yenyewe bila kuingiliwa na Taifa lingine tofauti ilivyo sasa ambapo Marekani inataka kuitawala dunia (Unipolar).
 
Sasa ndiyo muda wa kuumbuka iran.

Kama mambo yataenda kama alivyosema Trump basi anaenda kumaliza vita ya urusi na Ukraine na kuingia makubaliano.

Baada ya hapo marekani anaenda ku deal na Iran na urusi itakaa pembeni ikiangalia bila msaada wowote kwa Iran.

Kama jeuri ya Iran ilitokana na kumtegemea urusi basi imekula kwake kama alijipanga basi atapambana na hali yake
 
kp kipanya44 special ambassador wa Ukreni, nasikia huna hamu na taarifa yoyote ya kimataifa kwa sasa. Trump amewarahisishia ule mkwamo wenu.

Ruksa kusingizia sasa kwamba kama isingekuwa Trump kuingilia kati, Mrusi alikuwa analiwa kichwa.
 
Kwa nini tusigemee Trump ashughulikie mzozo wa Irani vs Israeli kama ule wa Urusi na Ukreni?
 
Kumbuka mkataba wa Minsky ulikuwa ni kati ya Urusi, Ukraine na waasi wa kule mashariki.
Pamoja na uwepo wa mkataba wa Minsk uliokusudia kusimamisha vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyokuwa vikiendelea Mashariki mwa Ukraine, hasa katika maeneo ya Donetsk na Luhansk bado waasi waliendelea na harakai zao wakiungwa mkino na russia. Mkataba huu ulilenga kuanzisha amani na kuzuia vita, lakini ulikuwa mgumu kutekeleza kwa sababu ya mvutano wa pande zote mbili, ikiwemo Russia kudai kuwa inalinda maslahi ya Warusi wanaoishi katika maeneo hayo (Ihope hadi hapo umeshamuona mwenye tatizo ni nani?).
Pale ukraine alikuwepo Peter Yukonov, rais aliyeondolewa na wananchi alipovunja Euromaidan movement na kuielekeza nchi yake kwenye mafungamano na Russia, ambapo wananchi hawakukubaliana naye, kukatokea maandamano makubwa yaliyomuondoa madarakani na yeye akakimbilia uhamishon Russia.

Mnamo 2014, Urusi ilichukua hatua ya kulidhibiti eneo la Crimea kutoka Ukraine (kumbuka mkataba wa Minsky upo na mfanya vurugu ni yuleyule) ikidai kuwa raia wa eneo hilo walipiga kura kutaka kujiunga na Urusi (yaani anavamia kijeshi, anaitisha kura ya maoni kama wananchi wanataka kujiunga na Russia na kura hizo anasimamia na kuhesabu mwenyewe halafu anaandika hati ya kulijumuisha rasmi eneo hili kuwa sehemu ya russia). Haatua hiyo ilipingwa kimataifa na kuoekkana kama uvamizi.
To cut the long story short, Mkataba wa Minsky uliaza kuvurugwa na Russia mwenyewe
 
Hilo jamaa nina uhakika ni shoga 100% kila siku linazungumzia mambo ya ushoga-ushoga, ndo jambo pekee lililojaa kichwani mwake.
Huko lilipo linanuka mavi kwa kuzibuliwa mtaro.

Linabaki kujichekesha kweny comments za mabasha wake.
Nyie mmesharuhusiwa,nenda na Mumeo mkabarikiwe,ruksa.
 

Attachments

  • Screenshot_20241110_080957_Gallery.jpg
    338.7 KB · Views: 2
Dunia yenye amani ina maslahi kuliko dunia yenye mavita
Vise versa world is important also.

Haiwezekani amani all decade, lazima vipindi vibadirishane ndiyo mfumo wa dunia ulivyo, yaani kuzaliwa, kuishi na kufa.
 
Umeongea mengi matupu, unasahau kitu kimoja cha msingi. Marekani alikuwa anatafuta nini pale Ukreni karibu na Urusi, wakati yeye hataki hasimu wake yeyote amsogezee pua uani kwake?
Ni kawaida kwa mtu kuita asichokipenda kuwa ni nonsense, kamwe hammtumii facts.
Unachosahau au usichokijua ni kwamba Marekani na Russia ni majirani na wanashare mpaka wenye urefu wa km 79
 
Vise versa world is important also.

Haiwezekani amani all decade, lazima vipindi vibadirishane ndiyo mfumo wa dunia ulivyo, yaani kuzaliwa, kuishi na kufa.
Kwamba kusipokuwa na vita hakuna kufa?
 
Overthinking, overthinking, overthinking
 
Huyu ndite Rais sasa. Sio kucheka na chura kiziwi,mara anaupiga mwingi
 
Kwa Tanzania do you think tuna mtu wa namna hiyo kwasasa? Upinzani na chama tawala; don't think so. Mtu anae heshimu kauri zake na ana msimamo wa jambo analo liamini..., was only JPM
 
Wamarekani na Dunia Wana Imani sana na Trump kama Watanzania tulivyokuwa na Imani na Mwamba Magufuli enzi zake.
 
Hapo mwisho uliposema Tanzania. ✋✋✋. Tundu Lissu ni zaidi ya Trump, lakini angalia mashetani ccm, walimpiga risasi kumuua lakini mungu wa rehema akamuokoa hatimae akawauwa wao kwa kifo kibaya cha kukosa pumzi.

Trump is nothing kwa Lissu or Netanyahu.

Tanzania tuna tatizo kubwa la vyombo vya dollar, viko affiliated na CCM.

Ili kuja kuwa na katiba nzuri hatuna budi kumwaga damu la sivyo tutaendelea kushuhudia utekaji na mauwaji kwa watu wenye mawazo chanya.

Mungu atusaidie
 
Trump is nothing kwa Lissu or Netanyahu
kabla hujamlinganisha Trump na huyo mtu wako, mpe kwanza madaraka ya urais wa nchi. Je, mwenzio amewahi kuwa rais wa nchi gani? Au hata waziri mkuu?

Ukiamua kumchezesha mtu wako kwenye uwanja wa kisasa na mwingine milimani kwenye mawe huku ukitegemea ufanisi uleule, hapo ndipo unaonekana kioja cha mwaka.
 
[QUOTE="Saint Topman Michael,
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
[/QUOTE]
Tutikuwa nae mkaleta figisu eti umeme wa moyo una matatizo.
Baadae mkaeñda kutubu huko haji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…