squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Shida iko wapi kukosoa. Hakuna kosa kukosoa serikali ama kiongonzi, hio ni demokraisa.Mtanzania anaongea ujinga na upuuzi na dharau kuhusu nchi yake na viongozi wake kwenye jukwaa la wakenya na wakenya wanampa LIKES, na anajiona mjanja kuwa wakenya wanampenda ila cha ajabu huyo huyo mtanzania licha ya kuona mapungufu ya nchi ya Kenya ila HAJAWAHI kuwaona wakenya wakiinanga nchi yao. Ni maajabu mengine ya watanzania.!
Kuthibitisha point yangu hii kuhusu ulemavu wa akili wa kudumu wa baadhi ya watanzania, mtanzania atanitolea povu hapa.
Povu ruksa.
Wewe Mrombo mpumbavu unatukanaje Rais wako?Maghu-FOOL will never get this opportunity..
Kwanza mahali kama hapo sijui ataongea nini..ze ze ze ze ze..
Yeye ni M7 na PK mpaka afe.
Kuna mahali nimesema HAWARUHUSIWI kukosoa? Kikubwa kama wewe ni mtanzania, JIFUNZE KWA WAKENYA, ni hayo tu. Mwenye akili atakuwa kanielewa.Shida iko wapi kukosoa. Hakuna kosa kukosoa serikali ama kiongonzi, hio ni demokraisa.
Free your mind from mental slavery
Hiki ndio chanishangaza kwa mtanzania. Alafu anapewa likes na wakenya anajiona mjanja.Wewe Mrombo mpumbavu unatukanaje Rais wako?
Google helper nimekupenda bure /chukua balimi moja ntakulipiaBaba mzuri si yule anayekaa na watoto nyumbani ili awalee ila ni yule anayetoka na kuleta mahitajj muhimu kwa watoto wake. Over
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni zezeta kweli kweliMaghu-FOOL will never get this opportunity..
Kwanza mahali kama hapo sijui ataongea nini..ze ze ze ze ze..
Yeye ni M7 na PK mpaka afe.
Wangapi walikwenda na pakawa patupu?Baba mzuri si yule anayekaa na watoto nyumbani ili awalee ila ni yule anayetoka na kuleta mahitajj muhimu kwa watoto wake. Over
Sent using Jamii Forums mobile app
MANENO MATUPUaliyeko nyuma ya pazia atwambie kuna mapambo gani huko maana haya makubaliano na full of sweet promises haviji hivihivi
MANENO MATUPU
MAKUNYA NI MAZEZETA KWELI KWELI WALAHI
Matusi haya yote ni ya nini? Hoja zingine simpo kama hizi ni za kujadiliwa na kila mtu, wakenya kwa watanzania bila ya mvutano wala fujo nyingiiiii.Wewe Mrombo mpumbavu unatukanaje Rais wako?
Wacha wivuBakuli la misaada limejaa halijaa?
Funny, reports couldn't care less about Kenya, all they want to know is Trump's thought about John McCain's passing.
Ndio mahesabu ya kinyang'au hayo....win win...tumeridhia
Buda umelost hizi area, uko poa lakini?
ππππ
Niko poa Nilikua Moshi juzi kati nimesharudi Pwani sahvBuda umelost hizi area, uko poa lakini?