squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Mtanzania anaongea ujinga na upuuzi na dharau kuhusu nchi yake na viongozi wake kwenye jukwaa la wakenya na wakenya wanampa LIKES, na anajiona mjanja kuwa wakenya wanampenda ila cha ajabu huyo huyo mtanzania licha ya kuona mapungufu ya nchi ya Kenya ila HAJAWAHI kuwaona wakenya wakiinanga nchi yao. Ni maajabu mengine ya watanzania.!
Kuthibitisha point yangu hii kuhusu ulemavu wa akili wa kudumu wa baadhi ya watanzania, mtanzania atanitolea povu hapa.
Povu ruksa.
Kuthibitisha point yangu hii kuhusu ulemavu wa akili wa kudumu wa baadhi ya watanzania, mtanzania atanitolea povu hapa.
Povu ruksa.