Trump Confirms Plans for Mombasa - Nairobi Superhighway (VIDEO)

Safi sana, cha msingi ni mutual benefits in trade and investments, Uhuru amejieleza vizuri bila ze ze ze zile za wenzetu.

Barabara ndefu na pana kuliko zote ukanda wote huu wa Afrika Mashariki na Kati.....
Mmechaguliwa sasa, kazi kwenu kuwakumbuka masikini wa Turkana na kibela kwa kuwapelekea huduma muhimu.
 
Mkenya hawezi ichafua nchi yake mtandaoni kwani akisema/akiwasilisha suala lake huko linasikilizwa either hata wananafasi na uhuru wa kuandamana tofauti na Tz ambapo mtz sehemu pekee anapoweza kuwasilisha malalamiko yake ni mtandaoni hivo anatamani kuona hata BBC aljazeera wakizungumzia matatizo ya mtz kwan hiyo ndiyo ahuen yake! Mtz atafurahi zaidi hata akisikia kuwa wakenya wamefunga ubalozi wa tz kwa maandamano kupinga yanayoendelea tz kwan huku hatuwezi sema. Hope umeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn win win situation should not JUST be the case, but SEEN to be the case.

It's SEEN, FELT, IMBIBED, and ABSOLVED
We can monitor, measure and analyse its results,output, outcome and impact

Mkenya ana kainchi kadogo kame bila madini lakini anatawala ukanda huu akiwa na karibia nusu ya GDP ya EAC yote.
 
Mmechaguliwa sasa, kazi kwenu kuwakumbuka masikini wa Turkana na kibela kwa kuwapelekea huduma muhimu.

Mje muwachukue hawa ndugu zenu maana wamekua kero kwenye nch yetu, tumekosa fursa ya kushughulkia watu wetu

It's SEEN, FELT, IMBIBED, and ABSOLVED
We can monitor, measure and analyse its results,output, outcome and impact

Mkenya ana kainchi kadogo kame bila madini lakini anatawala ukanda huu akiwa na karibia nusu ya GDP ya EAC yote.

Ahaaa haaa haaa
Nchi yenu ni KUBWA SANA, ila shida mmewapa familia ya Kenyatta ARDHI yote.

Kenyatta family land is enough to settle 20 million people
 
PUNGUANI..NDONDOCHA wewèee..
Wewe ni kinyago gani unipangie cha kuposti humu..!!
IDIOT DIMWIT..!!
 
Ahaaa haaa haaa
Nchi yenu ni KUBWA SANA, ila shida mmewapa familia ya Kenyatta ARDHI yote.

Kenyatta family land is enough to settle 20 million people

Huwa tunahisi wapweke sana kama uchumi wa kati huku tumezungukwa na mataifa makubwa iliyojaa mizembe na madini.
 
Write your reply...our country is totally mess@ I have said Botswana ,Namibia and south Africa there 1000% better than us
 
Huwa tunahisi wapweke sana kama uchumi wa kati huku tumezungukwa na mataifa makubwa iliyojaa mizembe na madini.
Hameni, kwanini msisogeze nchi Euro? Umbali sio shida kama Réunion ni sehemu ya Ufaransa na EU.
 
Hameni, kwanini msisogeze nchi Euro? Umbali sio shida kama Réunion ni sehemu ya Ufaransa na EU.

Leo hii hakuna nchi au mipaka inayoweza kuchorwa upya, kama ulichelewa enzi zile wakati kila mtu alikua ananyakua nyakua basi ndio hivyo, huna tena. Ndio huwa najikuta nikichukia mababu zetu kwa kuachia mzungu akanyakua mlima wetu wa Kilimanjaro na kuwapa Wajerumani ukaishia kwa Watanzania.
Hao watu wa Kilimanjaro wangekua ndani ya Kenya na kuungana na sie wachapa kazi tungekua mbali kiuchumi maana hata leo hii wao ndio wanaendesha uchumi wa Tanzania.
 
Haha, sijawahi kuona unajitetea na maneno mengi hivi duh[emoji23]

Muda sio tatizo hata kama mababu waliwaharibia miaka ya nyuma, leo hii kuna nchi bado wanajiunga na nchi zingine na wengine wanajitoa. Kama hizi nchi jirani zinawacheleshwa kwa uvivu wao, basi hameni muende karibu na zile nchi zinazokimbia kama kasi yenu.
 
Nimekuambia leo hii haiwezekani kuhama, kilicho chorwa enzi zile basi, wewe huoni hata hapo Wazenji mumekatalia kuwaachia kakisiwa kao waende. Kila siku wanalia kwamba mnawachelewesha kwa kuwakalia, ilhali mnagomea sukari yao na kununua ya Uganda.
Yaani leo hii hakuna sehemu mpaka unaweza kuchorwa upya au nchi yoyote kuhama.
 
Hili swala halina mjadala, mifano ni mingi sana duniani. South Sudan wamechora mipaka yao upya na Sudan. UK wanajitoa EU na kuchora mipaka yao upya, leo hii Hong Kong ni sehemu ya Uchina nk..

Cha muhimu ni maamuzin tu hata mkitaka kuwa kwenye Umoja wa Marekani mnaweza, muende huko mkaonyeshe dunia kama nyinyi sio wavivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…