tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha ...mkataba ushakuwa signed sasa tufanyeje sie...
Sawa hakuna namna ...hahahaha ...mkataba ushakuwa signed sasa tufanyeje sie...
Mmechaguliwa sasa, kazi kwenu kuwakumbuka masikini wa Turkana na kibela kwa kuwapelekea huduma muhimu.Safi sana, cha msingi ni mutual benefits in trade and investments, Uhuru amejieleza vizuri bila ze ze ze zile za wenzetu.
Barabara ndefu na pana kuliko zote ukanda wote huu wa Afrika Mashariki na Kati.....
Mkenya hawezi ichafua nchi yake mtandaoni kwani akisema/akiwasilisha suala lake huko linasikilizwa either hata wananafasi na uhuru wa kuandamana tofauti na Tz ambapo mtz sehemu pekee anapoweza kuwasilisha malalamiko yake ni mtandaoni hivo anatamani kuona hata BBC aljazeera wakizungumzia matatizo ya mtz kwan hiyo ndiyo ahuen yake! Mtz atafurahi zaidi hata akisikia kuwa wakenya wamefunga ubalozi wa tz kwa maandamano kupinga yanayoendelea tz kwan huku hatuwezi sema. Hope umeelewaMtanzania anaongea ujinga na upuuzi na dharau kuhusu nchi yake na viongozi wake kwenye jukwaa la wakenya na wakenya wanampa LIKES, na anajiona mjanja kuwa wakenya wanampenda ila cha ajabu huyo huyo mtanzania licha ya kuona mapungufu ya nchi ya Kenya ila HAJAWAHI kuwaona wakenya wakiinanga nchi yao. Ni maajabu mengine ya watanzania.!
Kuthibitisha point yangu hii kuhusu ulemavu wa akili wa kudumu wa baadhi ya watanzania, mtanzania atanitolea povu hapa.
Povu ruksa.
Lkn win win situation should not JUST be the case, but SEEN to be the case.
Mmechaguliwa sasa, kazi kwenu kuwakumbuka masikini wa Turkana na kibela kwa kuwapelekea huduma muhimu.
Ala! Ulikuwa kwa Wamaasai ama lake Chala? Nasikia huko Swahili dishes ziko poa sana
It's SEEN, FELT, IMBIBED, and ABSOLVED
We can monitor, measure and analyse its results,output, outcome and impact
Mkenya ana kainchi kadogo kame bila madini lakini anatawala ukanda huu akiwa na karibia nusu ya GDP ya EAC yote.
PUNGUANI..NDONDOCHA wewèee..Wewe ni zezeta kweli kweli
HAPO LIJAMAA LINADANGANYWA KAMA TOTO DOGO!
KWANI MA RAIS WANGAPI WALIKUTANA NA HIYO MIJITU NA WAKA AHIDI AHADI HEWA!
NYINYI VIBARAKA MSIO KUWA NA ARDHI MNAMATATIZO YA AKILI KWA KWELI
JUZI LIJAMAA LIMEKUTUKANA LEO UNAPELEKA MAKALIO KWAKE TOTALLY IMBECILE WALAHI
That’s all
Jinga weee..Wewe Mrombo mpumbavu unatukanaje Rais wako?
Angalia mzee usiwe mjinga namna hiyo!Jinga weee..
Dimwit.
Ahaaa haaa haaa
Nchi yenu ni KUBWA SANA, ila shida mmewapa familia ya Kenyatta ARDHI yote.
Kenyatta family land is enough to settle 20 million people
Hameni, kwanini msisogeze nchi Euro? Umbali sio shida kama Réunion ni sehemu ya Ufaransa na EU.Huwa tunahisi wapweke sana kama uchumi wa kati huku tumezungukwa na mataifa makubwa iliyojaa mizembe na madini.
President Uhuru Kenyatta is always on point. Precise and coherent.
Hameni, kwanini msisogeze nchi Euro? Umbali sio shida kama Réunion ni sehemu ya Ufaransa na EU.
Haha, sijawahi kuona unajitetea na maneno mengi hivi duh[emoji23]Leo hii hakuna nchi au mipaka inayoweza kuchorwa upya, kama ulichelewa enzi zile wakati kila mtu alikua ananyakua nyakua basi ndio hivyo, huna tena. Ndio huwa najikuta nikichukia mababu zetu kwa kuachia mzungu akanyakua mlima wetu wa Kilimanjaro na kuwapa Wajerumani ukaishia kwa Watanzania.
Ha watu wa Kilimanjaro wangekua ndani ya Kenya tungekua mbali kiuchumi maana hata leo hii wao ndio wanaendesha uchumi wa Tanzania.
Haha, sijawahi kuona unajitetea na maneno mengi hivi duh[emoji23]
Muda sio tatizo hata kama mababu waliwaharibia miaka ya nyuma, leo hii kuna nchi bado wanajiunga na nchi zingine na wengine wanajitoa. Kama hizi nchi jirani zinawacheleshwa kwa uvivu wao, basi hameni muende karibu na zile nchi zinazokimbia kama kasi yenu.
Hili swala halina mjadala, mifano ni mingi sana duniani. South Sudan wamechora mipaka yao upya na Sudan. UK wanajitoa EU na kuchora mipaka yao upya, leo hii Hong Kong ni sehemu ya Uchina nk..Nimekuambia leo hii haiwezekani kuhama, kilicho chorwa enzi zile basi, wewe huoni hata hapo Wazenji mumekatalia kuwaachia kakisiwa kao waende. Kila siku wanalia kwamba mnawachelewesha kwa kuwakalia, ilhali mnagomea sukari yao na kununua ya Uganda.
Yaani leo hii hakuna sehemu mpaka unaweza kuchorwa upya au nchi yoyote kuhama.