Trump hatashinda japo na Kamala Harris hatauweza urais wa Marekani kipindi ambapo taifa hilo linadidimia

Jambo jengine linalonishawishi kushindwa kwa Trum ni kwamba idadi kubwa ya wamarekani wamepigika kimaisha sasa mambo ya kuendelea kuwa taifa kubwa na mbabe kama anavyotaka Trum hayaingii sana akilini mwao kuliko matumbo yao.
 
Bado hujaelewa mtindo wa kura za marekani. Zile hao wajumbe wanatokana na mtiririko wa ushindi ulioupta kwenye majimbo husika. So usiposhinda inakuwa ngumu kupata hyo support.
 
Bado hujaelewa mtindo wa kura za marekani. Zile hao wajumbe wanatokana na mtiririko wa ushindi ulioupta kwenye majimbo husika. So usiposhinda inakuwa ngumu kupata hyo support.
Kwa mitindo yote uwezekano wa Trump kushinda ni mdogo sana.Kila kitu kinamkataa
 
Kumbuka haya nikuandikiayo Leo TRUMP NDIYE RAIS AJEYE MAREKANI
 
Trump ndiye raisi ajaye marekani tarehe ya Leo ikumbuke ndugu. Yes umechambua kwa maoni yako ila ktk maono ni tofauti 2025 Trump is going to be elect as the USA PRESIDENT
 
Trump ndiye raisi ajaye marekani tarehe ya Leo ikumbuke ndugu. Yes umechambua kwa maoni yako ila ktk maono ni tofauti 2025 Trump is going to be elect as the USA PRESIDENT
Umezungumzia kwa hisia na mapenzi yako ingawaje hali inavyoonesha Trump hakubaliki na wastaafu wa Marekani wa vyama vyote na wapiga kura wake ni wachache sana miongoni mwa wabaguzi wa rangi na wahuni wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…