Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
View attachment 3542240
go to the internet an find it sio kila kitu utafuniwe.
Uwe unatafuta ukweli na uthibitisho wa maneno. Na sio maneno yanazushwa tu huko unayabeba kama yalivyo bila kuhakiki. Wewe mwenyewe hapo huna uthibitisho wowote kuwa Trump kasema hayo maneno. Nilikuwa nataka kukuzindua tu kuwa hayo maneno hayana uthibitisho.