Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
View attachment 3542240
go to the internet an find it sio kila kitu utafuniwe.
Punguza maelezo British school punda halazimishwi kunywa maji.1. Refer to the headline
2. Refer to your first comment on my response
3. Refer to my explanation/response to your comment
Read to understand not to respond!
you can not say kindly advise please , it is redundant, double politeness much as one says “repeat again”
You may use that but grammatically is not correct
Source, Kijiwe cha kahawaAfrica inatakiwa kutawaliwa zaidi ya miaka 100 tena kwa viboko vingi.
Source ?Nyie lazima mle viboko
ni kweli kabisa, alisema ataanzia vijiwe vya kahawa 😂 nasubiria tenda niuze kila kiboko dola 4soon waafrica mtapata viboko
Wewe na yeye mnafanana akili na wale wote wanao muunga mkono.
INawezekana kaenda huko kwenye internet na amekosa hiyo taarifa kutoka sources za kueleweka, kama una chanzo cha taarifa msaidie, otherwise atakua anakwambia kimyakimya kwamba hiyo taarifa sio sahihiView attachment 3542240
go to the internet an find it sio kila kitu utafuniwe.