The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Aliyekuwa mkuu wa CoastGuard Commandment Marekani Linda Fagan ( four star admiral) kafukuzwa kwenye kota za Serikali kwa kupewa notice ya masaa matatu.
Linda ambaye alitenguliwa na Trump kwenye nafasi yake siku mbili tu baada ya kuapishwa kuwa rais wiki mbili zilizopita alipewa siku 60 kujiandaa kuondoka Kwenye makazi hayo ya Serikali kwa mujibu wa sheria.
Cha kushangaza jana maafisa wa Serikali walimpa notice ya masaa matatu tu awe ameeondoka.
Kuwauliza kwanini wanamfanyia hivyo wakati ni kinyume cha sheria. Wakamjibu Trump hataki aishi hapo.
Linda Fagan ambaye ni msagaji na anatetea diversity alikuwa mpinzani na mpingaji mkubwa wa Trump.
Na Trump aliahidi akiwa rais atamfukuza kazi.