The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Ila Trump bana hadi wazungu wenzake yeye hajali.Magufuli mpya ndani ya USA
Walishindwa kumlenga shingoni Ile risasi watakiona.Trump anatakiwa afeAliyekuwa mkuu wa CoastGuard Commandment Marekani Linda Fagan ( four star admiral) kafukuzwa kwenye kota za Serikali kwa kupewa notice ya masaa matatu.
Linda ambaye alitenguliwa na Trump kwenye nafasi yake siku mbili tu baada ya kuapishwa kuwa rais wiki mbili zilizopita alipewa siku 60 kujiandaa kuondoka Kwenye makazi hayo ya Serikali kwa mujibu wa sheria.
Cha kushangaza jana maafisa wa Serikali walimpa notice ya masaa matatu tu awe ameeondoka.
Kuwauliza kwanini wanamfanyia hivyo wakati ni kinyume cha sheria. Wakamjibu Trump hataki aishi hapo.
Linda Fagan ambaye ni msagaji na anatetea diversity alikuwa mpinzani na mpingaji mkubwa wa Trump.
Na Trump aliahidi akiwa rais atamfukuza kazi.
View attachment 3227502
Imemfanya sasa hivi awe mtu wa ibada sana.Walishindwa kumlenga shingoni Ile risasi watakiona.Trump anatakiwa afe
Niliona story ya trans gender mmoja ameenda kurenew passport wamempa gender yake ya zamani ya kiume π Sasa amejibadilisha kila kitu anaonekana kama mwanamke halafu passport inasema ni ME. Analalamika ikiwa atakuwa anapita kwenye airports ya baadhi ya nchi itamleta shida.Wasagaji na wote waliobadilisha gender hawana nafasi mbele ya Trump
Yaani amepiga mpaka kwenye Riadha na kusema wote waliobadili jinsia hawatashiriki tena michezo
AkomeNiliona story ya trans gender mmoja ameenda kurenew passport wamempa gender yake ya zamani ya kiume π Sasa amejibadilisha kila kitu anaonekana kama mwanamke halafu passport inasema ni ME. Analalamika ikiwa atakuwa anapita kwenye airports ya baadhi ya nchi itamleta shida.
π
Ila dunia ina v-2-ko!Niliona story ya trans gender mmoja ameenda kurenew passport wamempa gender yake ya zamani ya kiume π Sasa amejibadilisha kila kitu anaonekana kama mwanamke halafu passport inasema ni ME. Analalamika ikiwa atakuwa anapita kwenye airports ya baadhi ya nchi itamleta shida.
π
V2ko kweli.Ila dunia ina v-2-ko!
Na wale aliosema wafungwe jela za jinsia zao sijui itakuwaje πΉπΉNiliona story ya trans gender mmoja ameenda kurenew passport wamempa gender yake ya zamani ya kiume π Sasa amejibadilisha kila kitu anaonekana kama mwanamke halafu passport inasema ni ME. Analalamika ikiwa atakuwa anapita kwenye airports ya baadhi ya nchi itamleta shida.
π
Kama ni msagaji aende akasage mahindi kuleAliyekuwa mkuu wa CoastGuard Commandment Marekani Linda Fagan ( four star admiral) kafukuzwa kwenye kota za Serikali kwa kupewa notice ya masaa matatu.
Linda ambaye alitenguliwa na Trump kwenye nafasi yake siku mbili tu baada ya kuapishwa kuwa rais wiki mbili zilizopita alipewa siku 60 kujiandaa kuondoka Kwenye makazi hayo ya Serikali kwa mujibu wa sheria.
Cha kushangaza jana maafisa wa Serikali walimpa notice ya masaa matatu tu awe ameeondoka.
Kuwauliza kwanini wanamfanyia hivyo wakati ni kinyume cha sheria. Wakamjibu Trump hataki aishi hapo.
Linda Fagan ambaye ni msagaji na anatetea diversity alikuwa mpinzani na mpingaji mkubwa wa Trump.
Na Trump aliahidi akiwa rais atamfukuza kazi.
View attachment 3227502
Si ndioo!Na wale aliosema wafungwe jela za jinsia zao sijui itakuwaje πΉπΉ