Trump kamfukuza aliyekuwa mkuu wa Coastguard kwenye kota za Serikali kama mbwa

✌️
 
Kibongo Bongo, Trump angeitwa dikteta πŸ˜‚

Anyway, mm namuunga mkono bro Trump kwa yote anayofanya kama ambavyo nilivyokuwa namuunga mkono JPM kwa yote aliyokuwa anafanya 😎

..hata bongo wanadai nanihii ni msagaji.
 
Kama alikuwa anasaga wenzake.

Siwezi muonea huruma.

Afukuzwe shetani wa kike huyo.
 
Trump aliwaahidi Evangelical Christian Churches of America ambao siku zote ndio wamekua walimpigia debe ya urais kwamba akishinda urais atairejesha Marekani katika misingi ya ukristo ambao ndio ulikuwa nguzo kuu ya uanzishwaji wa taifa hilo.

So that's what he is now doing.
 
Oya Jombi video hizi mods wanachukua utapewa mashtaka ya uchokozi wa kidini na kuhamasisha ushoga na kusababisha kula ban.
Wewe mwenyewe ndio mod πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajifanya sijui nini

Unaendelea kugawa sio tu hamas hadi mods
 
Kibongo Bongo, Trump angeitwa dikteta πŸ˜‚

Anyway, mm namuunga mkono bro Trump kwa yote anayofanya kama ambavyo nilivyokuwa namuunga mkono JPM kwa yote aliyokuwa anafanya 😎
Sisi CHADEMA tutatoa matamko, tumemtuma nyigu wa nyika kwanza, halafu Mh. Lissu atatoa neno?

nakubali tu tuna unafiki na unduminakuwili. huyo mama katumbuliwa haswa.πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…