Trump kamwambia Xi kama anaweza ibeba Taiwan, ni juu yake tu

Trump kamwambia Xi kama anaweza ibeba Taiwan, ni juu yake tu

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Donald Trump says it is “up to” Chinese President Xi Jinping whether China takes over Taiwan.

“He (Xi) considers it to be a part of China, and that’s up to him what he’s going to be doing,” Trump told The New York Times. “But I’ve expressed to him that I would be very unhappy if he did that.”


Tukiwaambia hawa watu wanagawana mnabisha
 

Attachments

  • 20260104_101408.jpg
    20260104_101408.jpg
    133.2 KB · Views: 30
Kwa kuwa wamepotezea alipojitwalia Venezuela, hajali sana kama nao watajitwalia:
Russia > Ukraine
China > Taiwan
 
Hivi wale wajuba wa ulaya kama uingereza, ujerumani, ufaransa, hispania, ureno na ubelgiji wao hawana vibonde vya kujitwalia? Au wao bado wanajua wanayo makoloni yao afrika yapo tayari? Maana wababe wa dunia wanajitwalia maeneo wanayotaka kuyanyonya kibabe au kwa hiyari
 
Ukute zile nchi za ulaya zilizokuwa na makoloni afrika safari hii hayo makoloni yakachukuliwa na marekani, urusi na china, maana yake hata uingereza iliyokuwa na makoloni mengi duniani ikabaki haina hata koloni moja! Hii ulaya marekani na urusi wataigawana na kule asia urusi na china watagawana. Afrika nako hawa wababe watatu wataigawana kwa amani mchezo ukaishia hivyo, habari za vita ikawa imefika mwisho
 
ETI USA WABABE WAMEIVAMIA VENEZUELA HALAFU RUSSIA NA CHINA WAMEOGOPA KU RESPOND CHOCHOTE ,WATU WALISHAKAA MAFICHONI WAKAKUBALIANA KILA MTU ACHUKUE PLATE YAKE ILIYOKARIBU YAKE TENA ILIYONONA KAMA KITIMOTO

taiwan has limited mineral resources, including metallic minerals (copper, gold, iron ore, and silver), industrial minerals, natural gas, and crude petroleum.
 
Hii Greenland kuchukuliwa na marekani bora tu wakubali kwa hiyari yao, maana denmark haina uwezo wa kijeshi kupambana na marekani kama marekani itaamua kuichukua kibabe. Zanzibar yetu ndio basi tena, kujitenga haitawezekana kwani tanganyika haitakubali. Cha nyongeza tu Tanzania nayo itafute nchi vibonde ikajitwalie huko, kuna visiwa vya comoro, kuna rwanda na burundi ongeza na maeneo ya mashariki ya congo. Sasa kama kina trump wanaleta mtindo mpya wa kuzitwaa nchi za watu kibabe au kwa ridhaa zao, mataifa mengine yafanyaje? nao ni kujitwalia vibonde vyao, kina trumpu wanaipanga dunia upya, NEW WORLD ORDER
 
Huo ni mtego narudia tena huo ni mtego mkubwa, TAIWAN ameshaandaliwa vya kutosha na USA ana siraha za kutosha toka marekani na hilo china analijua na ndo maana hajathubutu kukurupuka kwendako na marekani anamtafutia vita china ili uchumi uvurugike kaz kwake, trump kashasema aende bt atakuwa unhappy then....
 
IBAKI TU KUSEMA TUJICHAGULIE UPANDE WA KUNYAKULIWA
tuko zaidi upande wa china, bora tuwe upande wa marekani maana anaonekana ndio atakuwa na makoloni mengi zaidi na ana nguvu kubwa kuliko hao wenzake wawili
 
Back
Top Bottom