Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
MAKING AMERICA GREAT AGAIN.
Trump ameamua hakuna kulala mpaka kieleweke.
Ikiwa bado suala la USAID linafukuta, Raisi wa Marekani
Donald Trump amesema balozi zote za Marekani nchi mbalimbali
zijiandae kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 10. Hii ni inajumuisha
wale wa marekani na waliojiriwa kutoka nchi mahalia (local)
Huu upepo ukiendelea naona mpaka nchi nyingine kama za Ulaya zifuata
kubana matumizi na mambo yatakuuwa mabaya zaidi.
Poleni mtakao kumbwa na hili. Huwa nasikia watu wanavyosema
kwa madaha " Mimi nafanya kazi ubalozi 🤣"