Trump kasema Balozi zote za Marekani zipunguze Wafanyakazi

Trump kasema Balozi zote za Marekani zipunguze Wafanyakazi

MAKING AMERICA GREAT AGAIN.

Trump ameamua hakuna kulala mpaka kieleweke.

Ikiwa bado suala la USAID linafukuta, Raisi wa Marekani
Donald Trump amesema balozi zote za Marekani nchi mbalimbali
zijiandae kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 10. Hii ni inajumuisha
wale wa marekani na waliojiriwa kutoka nchi mahalia (local)

Huu upepo ukiendelea naona mpaka nchi nyingine kama za Ulaya zifuata
kubana matumizi na mambo yatakuuwa mabaya zaidi.

Poleni mtakao kumbwa na hili. Huwa nasikia watu wanavyosema
kwa madaha " Mimi nafanya kazi ubalozi 🤣"
Huu muhula Trump kaja kivingine kabisa. USA kwanza.
 
Hata sisi yatufaa tuige.Vitu vizuri huigwa.mfano Burundi na Rwanda inatakiwa iwakilishwe na balozi mmoja na wafanya kazi wasizidi kumi maana wanatubebesha gharama kubwa za kuwalipa
 
MAKING AMERICA GREAT AGAIN.

Trump ameamua hakuna kulala mpaka kieleweke.

Ikiwa bado suala la USAID linafukuta, Raisi wa Marekani
Donald Trump amesema balozi zote za Marekani nchi mbalimbali
zijiandae kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 10. Hii ni inajumuisha
wale wa marekani na waliojiriwa kutoka nchi mahalia (local)

Huu upepo ukiendelea naona mpaka nchi nyingine kama za Ulaya zifuata
kubana matumizi na mambo yatakuuwa mabaya zaidi.

Poleni mtakao kumbwa na hili. Huwa nasikia watu wanavyosema
kwa madaha " Mimi nafanya kazi ubalozi 🤣"
Trump atafilisi hawa waliokuwa wanapanda ndege wakirudi wanatusimulia kuna hela nyingi sana huko nje.

Nyerere na siasa za ujamaa wa kujitegemea alikuwa sahihi.

We will collapse if we depend on aid to run the country
 
Magufuli alibana matumizi sehemu moja akapeleka hizo fedha sehemu nyingine kutapanya. Ila Tanzania ikipata uongozi na kuamua kupunguza matumizi ya kifahari, (siyo kubana matumizi), zitapatikana fedha nyingi sana. Yes, ni kupunguza matumizi ya kifahari na siyo kubana matumizi. Hatua ya kubana matumizi itafuatia baada ya kupunguza ya kifahari. Fikiria viongozi kama kina Makonda wanasafiri kwa busines class. Magari ya kifahari. Wabunge wasio na kazi. Yaani tuna area nyingi sana za kubana matumizi.
ndio mkuu, viongozi ni wabinafsi, hawafikirii kesho, wanawaza kuhusu watoto wao na familia zao.
 
Back
Top Bottom