Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Itaku tabu kweliHuyu nahisi Kuna muda atasitisha kilakitu
Kichwa resi kile moja haisomi mbili haikai.Duh! Huyu mzee hatari...
Huyu haya mambo yakienda vizuri, nadhani kuna viongozi wa aina yake watajitokeza katika nchi nyinginezo.Kichwa resi kile moja haisomi mbili haikai.
NSSF hiyo itafilisika ghaflaHuko NSSF sasa hivi kunachemka ,mbona kunaenda kutokota tena😳😳
Kweli mkuu washirika wake watamuunga mkono.Huyu haya mambo yakienda vizuri, nadhani kuna viongozi wa aina yake watajitokeza katika nchi nyinginezo.
Unashauri na Tanzania ibane matumizi sio.Matajiri wanabana matumizi ila kuna bibi yetu mmoja kutoka Zanzibar na umasikini tulionao kwa kutapanya pesa hajambo...
JPM ni kama alikuwa mbele ya muda..
Safi sana, asitishe na wazururaji kwendà kuzurura huko.Huyu nahisi Kuna muda atasitisha kilakitu
Sasa mkuu miradi itamalizikaje ndani ya muda kama unatapanya pesa hovyo.. lazima miradi ichelewe.Unashauri na Tanzania ibane matumizi sio.
Itakuwa ngumu sana kukamilika.Sasa mkuu miradi itamalizikaje ndani ya muda kama unatapanya pesa hovyo.. lazima miradi ichelewe.
Trump akipewa muda anaweza, Nina Imani Kuna wamarekani hawapendezwi na anachofanya.Trump ameamua hakuna kulala mpaka kieleweke.
Ikiwa bado suala la USAID linafukuta, Raisi wa Marekani
Donald Trump amesema balozi zote za Marekani nchi mbalimbali
zijiandae kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 10. Hii ni inajumuisha
wale wa marekani na waliojiriwa kutoka nchi mahalia (local)
Huu upepo ukiendelea naona mpaka nchi nyingine kama za Ulaya zifuata
kubana matumizi na mambo yatakuuwa mabaya zaidi.
Poleni mtakao kumbwa na hili. Huwa nasikia watu wanavyosema
kwa madaha " Mimi nafanya kazi ubalozi 🤣"
Magufuli alibana matumizi sehemu moja akapeleka hizo fedha sehemu nyingine kutapanya. Ila Tanzania ikipata uongozi na kuamua kupunguza matumizi ya kifahari, (siyo kubana matumizi), zitapatikana fedha nyingi sana. Yes, ni kupunguza matumizi ya kifahari na siyo kubana matumizi. Hatua ya kubana matumizi itafuatia baada ya kupunguza ya kifahari. Fikiria viongozi kama kina Makonda wanasafiri kwa busines class. Magari ya kifahari. Wabunge wasio na kazi. Yaani tuna area nyingi sana za kubana matumizi.Matajiri wanabana matumizi ila kuna bibi yetu mmoja kutoka Zanzibar na umasikini tulionao kwa kutapanya pesa hajambo...
JPM ni kama alikuwa mbele ya muda..
Mdogo mdogo tutapata somo walala fofofo na wachakachua chaguzi ili kupata mbumbumbu.MAKING AMERICA GREAT AGAIN.
Trump ameamua hakuna kulala mpaka kieleweke.