Trump kasema Balozi zote za Marekani zipunguze Wafanyakazi

Huu muhula Trump kaja kivingine kabisa. USA kwanza.
 
Hata sisi yatufaa tuige.Vitu vizuri huigwa.mfano Burundi na Rwanda inatakiwa iwakilishwe na balozi mmoja na wafanya kazi wasizidi kumi maana wanatubebesha gharama kubwa za kuwalipa
 
Trump atafilisi hawa waliokuwa wanapanda ndege wakirudi wanatusimulia kuna hela nyingi sana huko nje.

Nyerere na siasa za ujamaa wa kujitegemea alikuwa sahihi.

We will collapse if we depend on aid to run the country
 
ndio mkuu, viongozi ni wabinafsi, hawafikirii kesho, wanawaza kuhusu watoto wao na familia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…