Trump kukoswa na Risasi ilikuwa ni bahati ama mkono wa Mungu?

"God created only two genders"; ni maneno yake mwenyewe kwenye mkutano mwingine somewhere just less than a week kabla ya tukio la kupigwa risasi.

Kwa hakika Mungu alichungulia duniani akaona yupo aisemaye kweli hadharani bila woga kati ya waovu.

Mungu hutenda kazi zake kwa namna ya ajabu kabisa! Kwa jinsi isiyodhaniwa, Mungu hufanya miujiza!
 
Kwa hakika umenena vema Mtumishi wa Mungu. Kwa upande wa Joe Biden, Mungu anamuadhibu kwasababu amechukizwa na matendo yake hasa ya kuueneza na kuunga mkono ushoga na kushabikia na kutaka kuiangamiza Dunia ambapo ndipo Mungu anaweka miguu yake. Ndio maana muda wote anaweweseka kama vile anajenga Mnara wa Babeli. Kwa uzee wa miaka 81 hakupaswa kuwa anapoteza kumbukumbu ya vitu vya kawaida kama kukosea majina ya watu na vyeo vyao.
 
Mpaka hapa kuna mipagani bado haiamini kuwa ni kazi ya Mungu Mkuu
 
Afe kabisa
 
Haikua BAHATI wala haikua MKONO WA MUNGU........ it called coincidence

Trump sio sanamu kusema lipo sehemu fixed
Trump kugeuza shingo ilikua ni natural behavior kwa binadamu yeyote

Maajabu yangekua ni risasi kumpiga kisha ikadunda kama kitenesi 😂
 
Dunia imeumbwa na mungu
Trump na alietaka kumuua wameumbwa na mungu
Kuwa na bahati au kutokuwa nayo ni kazi ya mungu

Kukoswa na risasi ni kazi ya mungu na ingempata ingekuwa kazi ya mungu maana ndo aina ya kifo ambacho angekuwa ameandikiwa na mungu

Mambo ya mungu ni mvurugano sana kuyaelewa aisee😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…