Trump kukoswa na Risasi ilikuwa ni bahati ama mkono wa Mungu?

Trump kukoswa na Risasi ilikuwa ni bahati ama mkono wa Mungu?

Zake bado.. Kama haijapangwa hata iweje kazi bure...
Mjomba Magu aliwekewa sumu! Ikamsumbua sana mwisho tulikuwa nae kwa muda mrefu sana..
Rest In Peace.. Uncle Magu..
 
"God created only two genders"; ni maneno yake mwenyewe kwenye mkutano mwingine somewhere just less than a week kabla ya tukio la kupigwa risasi.

Kwa hakika Mungu alichungulia duniani akaona yupo aisemaye kweli hadharani bila woga kati ya waovu.

Mungu hutenda kazi zake kwa namna ya ajabu kabisa! Kwa jinsi isiyodhaniwa, Mungu hufanya miujiza!
Angekufa mngesema mipango ya Mungu.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hakika umenena vema Mtumishi wa Mungu. Kwa upande wa Joe Biden, Mungu anamuadhibu kwasababu amechukizwa na matendo yake hasa ya kuueneza na kuunga mkono ushoga na kushabikia na kutaka kuiangamiza Dunia ambapo ndipo Mungu anaweka miguu yake. Ndio maana muda wote anaweweseka kama vile anajenga Mnara wa Babeli. Kwa uzee wa miaka 81 hakupaswa kuwa anapoteza kumbukumbu ya vitu vya kawaida kama kukosea majina ya watu na vyeo vyao.
Ndugu zako waliofariki kwa magonjwa mbalimbali nao Mungu aliwaadhibu kwa makosa yapi? Wagonjwa kibao tulionao mahospitalini nao wameadhibiwa kwa makosa yapi? Mbona mashoga wakubwa na maarufu duniani wanadunda vema tu na wanaishiwa kuadhibiwa wasio na hatia!? Tumia kichwa chako.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom