Trump kukoswa na Risasi ilikuwa ni bahati ama mkono wa Mungu?

Zake bado.. Kama haijapangwa hata iweje kazi bure...
Mjomba Magu aliwekewa sumu! Ikamsumbua sana mwisho tulikuwa nae kwa muda mrefu sana..
Rest In Peace.. Uncle Magu..
 
Angekufa mngesema mipango ya Mungu.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zako waliofariki kwa magonjwa mbalimbali nao Mungu aliwaadhibu kwa makosa yapi? Wagonjwa kibao tulionao mahospitalini nao wameadhibiwa kwa makosa yapi? Mbona mashoga wakubwa na maarufu duniani wanadunda vema tu na wanaishiwa kuadhibiwa wasio na hatia!? Tumia kichwa chako.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…