Trump: Kuongezeka kwa bei ya mafuta duniani ni faida kwa Marekani

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Rais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani.
==============
IRAN WILL BE STOPPED!

The United States is the largest Oil Producer in the World, by far, so when oil prices go up, we make a lot of money. BUT, of far greater interest and importance to me, as President, is stoping an evil Empire, Iran, from having Nuclear Weapons, and destroying the Middle East and, indeed, the World. I won't ever let that happen! Thank you for your attention to this matter.
President DONALD J. TRUMP
The WHITE HOUSE
20260312_212052.jpg
 
Petrodollar system ileee.
Hesabu za wenzake sio kushinda Vita Bali kuangusha Mfumo wao wa muda mrefu.
Bahari iliyokuwa ikipitisha mapipa mamilioni kwa siku ambayo yalinunuliwa kwa Dollar leo hayapiti.

Plus gharama za kushiriki Vita huku na kule kwa silaha za ghrama huku akiharibiwa kwa vifaa duni ni hasara kila pahala.
 
Mcha mbuzi kutoka bongo kana kwamba US kaanza kupigana vita leo,kila vita ina faida kwake.
 
Attachments

  • Screenshot_20260312-225400_Chrome.jpg
    Screenshot_20260312-225400_Chrome.jpg
    109.1 KB · Views: 36
Basi kama ni hivyo kwanini mataifa yasiungane kuiangusha marekani kwakua yeye anaanzisha ***** ***** ili anufaike mwenyewe kibiashara kuliko wenzie,allies wake wote ukweli si huo mshasikia.
 
Rais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani.
==============
IRAN WILL BE STOPPED!

The United States is the largest Oil Producer in the World, by far, so when oil prices go up, we make a lot of money. BUT, of far greater interest and importance to me, as President, is stoping an evil Empire, Iran, from having Nuclear Weapons, and destroying the Middle East and, indeed, the World. I won't ever let that happen! Thank you for your attention to this matter.
President DONALD J. TRUMP
The WHITE HOUSE
View attachment 3557137
Tatizo lako ni mihemko, pamoja na kuwa na shauku ya kujenga hoja
 
Petrodollar system ileee.
Hesabu za wenzake sio kushinda Vita Bali kuangusha Mfumo wao wa muda mrefu.
Bahari iliyokuwa ikipitisha mapipa mamilioni kwa siku ambayo yalinunuliwa kwa Dollar leo hayapiti.

Plus gharama za kushiriki Vita huku na kule kwa silaha za ghrama huku akiharibiwa kwa vifaa duni ni hasara kila pahala.
Kayatimba 😄

Nikama wamemuwekea chambo then akajaa ndio maana Kila akitaka kuimaliza vita Iran wanakataa , hakuna kupita mtu Hormuz
 
Hapa kazingua na kaharibu vibaya sana
Anajaribu kujitetea mambo yamesha mfika shingoni maana Kila anacho kifanya kinaenda kombo , baada ya kuona ameshindwa kupeleka jeshi ili zizilinde meli ziweze kupita Hormuz ndio kaja na Hiyo kauli inshort he's not normal
 
Rais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani.
==============
IRAN WILL BE STOPPED!

The United States is the largest Oil Producer in the World, by far, so when oil prices go up, we make a lot of money. BUT, of far greater interest and importance to me, as President, is stoping an evil Empire, Iran, from having Nuclear Weapons, and destroying the Middle East and, indeed, the World. I won't ever let that happen! Thank you for your attention to this matter.
President DONALD J. TRUMP
The WHITE HOUSE
View attachment 3557137
Kibri
 
Jamaa ana akili sana, kwake kila kitu ni America First. Natamani tungekuwa na viongozi wanaotanguliza maslahi ya nchi yao kama Trump.
Ungekuwa nao kwenye Nchi gani? Wa America ni wachapakazi,sio nyie mnashinda kwny betting
 
Mcha mbuzi kutoka bongo kana kwamba US kaanza kupigana vita leo,kila vita ina faida kwake.
Kata kichwa Hicho hakuna faida kwako.
Silaha za Maangamizi wanazoropoka Kila uchwao ndio zile zile ambazo zinawafanya veterans wengi kujuta ( Gold Bars and Oil).

Na Sasa dollar ipo backed na oil na Kama unavyoona mambo ndio hayo hapo baharini ..... Huelewi kwanini anaongelea Sana kuhusu kupigania biashara iendelee ?

Zuzu wewe.
 
Kayatimba 😄

Nikama wamemuwekea chambo then akajaa ndio maana Kila akitaka kuimaliza vita Iran wanakataa , hakuna kupita mtu Hormuz
Kazingua na safari hii wairan wamegoma kupigania Kwa kuzingatia vigezo vyake hivyo pattern haisomeki Wala haitabiriki Kwa haraka hivyo hasara ni lazima.
Wasipo angalia hasara itakuwa kubwa zaidi.
 
Huyu mwehu mwezi 11 anapigwa na kitu kizito kichwani
 
Back
Top Bottom