Jamaa ana akili sana, kwake kila kitu ni America First. Natamani tungekuwa na viongozi wanaotanguliza maslahi ya nchi yao kama Trump.Rais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani.
View attachment 3557137
Mcha mbuzi kutoka bongo kana kwamba US kaanza kupigana vita leo,kila vita ina faida kwake.Petrodollar system ileee.
Hesabu za wenzake sio kushinda Vita Bali kuangusha Mfumo wao wa muda mrefu.
Bahari iliyokuwa ikipitisha mapipa mamilioni kwa siku ambayo yalinunuliwa kwa Dollar leo hayapiti.
Plus gharama za kushiriki Vita huku na kule kwa silaha za ghrama huku akiharibiwa kwa vifaa duni ni hasara kila pahala.
Kweli..mRais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani.
View attachment 3557137
That mazafaka is completely and totally unhinged!Rais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani.
View attachment 3557137
Tatizo lako ni mihemko, pamoja na kuwa na shauku ya kujenga hojaRais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani.
==============
IRAN WILL BE STOPPED!
The United States is the largest Oil Producer in the World, by far, so when oil prices go up, we make a lot of money. BUT, of far greater interest and importance to me, as President, is stoping an evil Empire, Iran, from having Nuclear Weapons, and destroying the Middle East and, indeed, the World. I won't ever let that happen! Thank you for your attention to this matter.
President DONALD J. TRUMP
The WHITE HOUSE
View attachment 3557137
Kayatimba 😄Petrodollar system ileee.
Hesabu za wenzake sio kushinda Vita Bali kuangusha Mfumo wao wa muda mrefu.
Bahari iliyokuwa ikipitisha mapipa mamilioni kwa siku ambayo yalinunuliwa kwa Dollar leo hayapiti.
Plus gharama za kushiriki Vita huku na kule kwa silaha za ghrama huku akiharibiwa kwa vifaa duni ni hasara kila pahala.
Anajaribu kujitetea mambo yamesha mfika shingoni maana Kila anacho kifanya kinaenda kombo , baada ya kuona ameshindwa kupeleka jeshi ili zizilinde meli ziweze kupita Hormuz ndio kaja na Hiyo kauli inshort he's not normalHapa kazingua na kaharibu vibaya sana
KibriRais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani.
==============
IRAN WILL BE STOPPED!
The United States is the largest Oil Producer in the World, by far, so when oil prices go up, we make a lot of money. BUT, of far greater interest and importance to me, as President, is stoping an evil Empire, Iran, from having Nuclear Weapons, and destroying the Middle East and, indeed, the World. I won't ever let that happen! Thank you for your attention to this matter.
President DONALD J. TRUMP
The WHITE HOUSE
View attachment 3557137
Ungekuwa nao kwenye Nchi gani? Wa America ni wachapakazi,sio nyie mnashinda kwny bettingJamaa ana akili sana, kwake kila kitu ni America First. Natamani tungekuwa na viongozi wanaotanguliza maslahi ya nchi yao kama Trump.
Na kununua apartments Dubai kwa hela za walipa Kodi.Ungekuwa nao kwenye Nchi gani? Wa America ni wachapakazi,sio nyie mnashinda kwny betting
Kata kichwa Hicho hakuna faida kwako.Mcha mbuzi kutoka bongo kana kwamba US kaanza kupigana vita leo,kila vita ina faida kwake.
Kazingua na safari hii wairan wamegoma kupigania Kwa kuzingatia vigezo vyake hivyo pattern haisomeki Wala haitabiriki Kwa haraka hivyo hasara ni lazima.Kayatimba 😄
Nikama wamemuwekea chambo then akajaa ndio maana Kila akitaka kuimaliza vita Iran wanakataa , hakuna kupita mtu Hormuz