Trump kushinda labda warmongers wa USA waamue kupumzika

Trump kushinda labda warmongers wa USA waamue kupumzika

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu.

Kuelekea uchaguzi wa Marekani kuna kitu nimejaribu kuwaza,

Sote tunazijua sera za Trump sio mtu wa kupenda mavurugu vurugu ndito maana hata uchaguzi uliopita alishinda ile deep state ilimkataa baada ya kuona sera zake sio rafiki kwa biashara kubwa za nchi ile ikiwemo millitary industrial complex.

Kwa sababu hiyo naona yale yale ya 2020 yakijirudia.
 
Back
Top Bottom