Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Donald Trump amesema ‘hajali’ iwapo timu ya taifa ya Iran itashriki katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, michuano itakayofanyika majira ya joto mwaka huu.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema ‘hajali’ kama Iran itashiriki katika Kombe la Dunia mwaka 2026 litakalofanyika majira ya joto mwaka huu ambalo limeandaliwa kwa ushirikiano wa mataifa matatu; Marekani, Mexico na Canada.
Soma > Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026
Kauli hiyo imekuja wakati mvutano wa kijeshi ukiendelea kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, huku Iran ikijibu kwa mashambulizi dhidi ya baadhi ya mataifa washirika wa Marekani katika Ghuba.
Marekani itakuwa mwenyeji mwenza wa michuano hiyo pamoja na Canada na Mexico kuanzia Juni 11 hadi Julai 19. Akizungumza na Politico, Trump alisema, “Sijali kabisa. Nadhani Iran ni nchi iliyoshindwa vibaya.”
Hata hivyo, kutokana na machafuko yanayoendelea sasa kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, huku Iran, kiongozi wa shirikisho la soka la Iran, Mehdi Taj, amedokeza mashaka kuhusu uwezekano wa kushiriki mashindano hayo; “Ni mbali na matarajio yetu kuangalia Kombe la Dunia kwa matumaini.”
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Mattias Grafstrom, Februari 28, 2026 alisema: “Lengo letu ni kuwa na Kombe la Dunia salama, huku kila mtu akishiriki.”
Timu ya taifa ya Iran imefanikiwa kufuzu kwa mara ya nne mfululizo kwenye Kombe la Dunia na imepangwa kuanza kampeni yake ya mashindano dhidi ya New Zealand na Belgium huko Los Angeles, kabla ya mchezo wao wa mwisho wa kundi dhidi ya Misri huko Seattle.
==
US President Donald Trump has said he "does not care" if Iran take part in this summer's 2026 World Cup.
Trump's comments come amid US and Israeli strikes on Iran, which has responded by launching attacks on US-allied states in the Gulf in an escalating conflict.
The US is co-hosting the World Cup which takes place between 11 June and 19 July, along with Canada and Mexico.
"I really don't care," Trump told Politico, external about Iran playing in the tournament.
"I think Iran is a very badly defeated country. They're running on fumes."
BBC Sport has approached Fifa for comment.
Iran have qualified for a fourth-consecutive World Cup and are scheduled to open their World Cup campaign against New Zealand and Belgium in Los Angeles before their final group game against Egypt in Seattle.
The country did not pull out of the competition last summer when the US bombed three nuclear facilities in the country.
But with the more serious current upheaval, the head of Iran's football federation, Mehdi Taj, has reportedly cast doubt on their participation., external
Taj told Iranian television that it was "far from our expectations that we can look at the World Cup with hope". He added the country's sports officials would decide if any action was necessary.
Fifa's general secretary Mattias Grafstrom said on Saturday: "Our focus is to have a safe World Cup with everybody participating."