Trump Mzee wa Distraction: Alisambaza Fake News kwamba Biden ni Clone (Biden wa kweli alikufa 2020)

Trump Mzee wa Distraction: Alisambaza Fake News kwamba Biden ni Clone (Biden wa kweli alikufa 2020)

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,416
Wanakati huku zinakuja News kwamba fortune (Utajiri wa Trump) umeongezeka mara mbili ndani ya mwaka na kwamba alikuwa rafiki wa karibu na molester wa vibinti vidogo Jeffrey Edward Epstein ; Trump akaamua kupost kwenye Platform yake kwamba Biden huyu aliyepo ni Clone...

Kweli dunia ya sasa the Lunatics are Running the Asylum (Na huyu sio Lunatic peke yake bali ni selfish profiteer)


View: https://youtu.be/QzhZzz6iTQI?si=wN7JdgtDWqi8isxN
 
Back
Top Bottom