The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha tunafanana tu dunia nzima.
They cast their votes in his favor; now let them comprehend why rational individuals were vehemently opposed to Trump.
Watu walikuwa wanakunja hadi 250 k usd annually watapata wapi?Wakatafute changamoto sehemu nyingine kama wana sivii za kutosha Hawa kazi hawakosi
Hili jamaa sijui kwanini freemasons wametuletea. Wangekomaa tu na kina Bill Gates angalau wana utu na ma GMO zaoPesa ya pesa hakuna huruma , hapo Musk atazidi kuwa tajiri .
Wanaopenda vya dezo ndio wanalia Lia Si wenye akili toshelevu tusio na mipaka ya mawazo tunaweza kuishi kwa kutumia akili na nguvu zetu
Waambie wakacheze keno dukani seven eleven😁😁Hili jamaa sijui kwanini freemasons wametuletea. Wangekomaa tu na kina Bill Gates angalau wana utu na ma GMO zao
Hahaha nimecheka kwa sautiWaambie wakacheze keno dukani seven eleven😁😁
Yani Trump na Musk ni kama watoto hovyo kabisa. Mimi nilitamani Ron Desantis Desantis governor wa Florida awe rais kupitia Republican kungekuwa na nidhamu. Na Republicans wengi wenye akili wanamkubali ila ndio hivyo Trump alimshinda kwenye primaries.
Musk na Trump Trump very arrogant na reckless.
Kumbe freemasons ndio wanapanga viongozi wa dunia?Hili jamaa sijui kwanini freemasons wametuletea. Wangekomaa tu na kina Bill Gates angalau wana utu na ma GMO zao
Huna akili wewe BwegeElon Musk ni Bilionea ila amechagua kuwa CHAWA PROMAX wa Rais Trump mpaka anatia kinyaa...na vile kamwe hawezi kuupata Urais wa USA kwa kuwa yeye SIYO RAIA WA KUZALIWA WA USA, basi hajali kabisa kuumiza Wamarekani na raia wa Ulimwengu huu. Ni Mungu tuu ndiye anayeweza kuamua kwa kuingilia kati, bila shaka, dalili zote kwa hawa Duos zinaonyesha kuwa sasa Dunia inaelekea kumpata Hitler mwingine, hata kama alijitanabahisha kuwa hapendi vita, itoshe tuu kudadisi kupenda kwao kumiliki PEKE YAO Uchumi wa Dunia, Kuhodhi mamlaka Yasiyo na mwisho, kutamani ghafla tuu KUINUNUA Gaza strip, Greenland, Canada, na pia kuumiliki mfereji wa Panama, kujipa mamlaka ya kusuluhisha vita bila kuhusisha upande unaolalamika kuonewa pamoja na Wadau wakuu wa Ulaya.....kutapelekea vurugu na vita kubwa sana katika hii Dunia itakayo tugharimu na kuvuruga USTAARABU NA UTANGAMANO ambao Dunia imehangaika kuujenga kwa muda mrefu , kwa jasho na damu.