Trump na Netanyahu wataondoka hapa duniani watawaacha Wapalestina Gaza

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa.

IMG_1657.jpeg

Na ni aibu hasa kwa wanaoshabikia haya yanayowakuta wapalestina.

May cowards get 10 times of suffering of Palestinians, may cowards eye never sleep.
IMG_1642.jpeg
 
Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa.

Na ni aibu hasa kwa wanaoshabikia haya yanayowakuta wapalestina.

May cowards get 10 times of suffering of Palestinians, may cowards eye never sleep.View attachment 3225665
Ushahidi?
 
Ni kweli hata wafanye nini hawatafanikiwa hicho wanachotaka kukifanya
 
Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa.

Na ni aibu hasa kwa wanaoshabikia haya yanayowakuta wapalestina.

May cowards get 10 times of suffering of Palestinians, may cowards eye never sleep.View attachment 3225665
Sidhani kama gaza ya waarabu itakuwepo tena ....nimetumia asilimia 60% ya akili zangu kujua jambo hili .....hivyo ningependa kuwaambia wa arabu koko na waislamu koko wa Tanzania kuwa kwa vyovyote vile wapalestina wataondolewa wote gaza ni swala la muda tu na wapi wapelekwe.
 
Kinyongeee sana mbona? Si khamasi wameshinda vita. hyo kutolewa mleta mada imetokea wap? Haamasi vita kashinda na wameonekana wamevaa mmagwanda mapya
 
Gaza sio eneo salama kwa wapalestina pamoja na waisraeli maadamu magaidi wa hamas wataendelea kuwepo pale.Wapalestina wanahitaji kitu bora zaidi ya vita;maendeleo,elimu bora kwa watoto wao,amani,ustawi wa mwanagaza mmoja mmoja n.k.Haya hayawezi kutokea kama hamas wakiendelea kuwepo pale.Wazo la Trump ni bora kwa mstakabali wa wapalestina 🤔
 
⚡️🇵🇸🇺🇸BREAKING: Palestina inamjibu Donald Trump:

"Kwa wale wanaotaka kuwapeleka watu wa Palestina kwenye 'mahali pazuri', waruhusu warudi kwenye makazi yao ya asili katika eneo ambalo sasa ni Israeli ... watu wa Palestina wanataka kujenga upya Gaza kwa sababu hapa ndipo tunapostahili."
 
Sidhani kama gaza ya waarabu itakuwepo tena ....nimetumia asilimia 60% ya akili zangu kujua jambo hili .....hivyo ningependa kuwaambia wa arabu koko na waislamu koko wa Tanzania kuwa kwa vyovyote vile wapalestina wataondolewa wote gaza ni swala la muda tu na wapi wapelekwe.
labda kama huwajui wapalestina,pia jiulize haya maswali:
1.nani atawaandoa wapalestina huko gaza?
2. atatumia sheria ipi ya duniani?
3.atawapeleleka wapi hao wapalestina?
4.wapalestina wapo kwao,nchini kwao unawaondoa kwa amri ya nani?
 
Subiri utaona wata ondolewaje ...wewe kaa tu kitini ...vinginevyo wataishi chini ya serikali ya Israel daima yani hadi polisi ya gaza watakuwa wameajiliwa na Israeli nk yaani gaza itakuwa kama koloni la Israel
 
Subiri utaona wata ondolewaje ...wewe kaa tu kitini ...vinginevyo wataishi chini ya serikali ya Israel daima yani hapi polisi ya gaza watakuwa wameajiliwa na Israeli nk yaani gaza itakuwa kama koloni la Israel
sawa,tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom