Trump na Netanyahu wataondoka hapa duniani watawaacha Wapalestina Gaza

Trump na Netanyahu wataondoka hapa duniani watawaacha Wapalestina Gaza

Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa.
Umeandika upumbavu
 
Trump ni kichaa, hicho anachokisema hakitokaa kitokee.

Mwanzoni alianza kwa kusema wanataka kuijenga upya hivyo Palestines waende Misri alipoona watu wamekataa ndio analeta huo ujinga wake.

Yeyote mwenye akili timamu na utu hawezi kuunga mkono huo upuuzi wake.
 
Yeyote mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono huo upuuzi wake.
By whose standards? Yours?
Yaan una impose perception zako kwa watu wengine

Mwanzoni alianza kwa kusema wanataka kuijenga upya hivyo Palestines waende Misri alipoona watu wamekataa ndio analeta huo ujinga wake.
Hakuna nchi ya kiislamu inayowataka hao wapalestina, usianze kudanganya watu ukasema eti wapalestina wamekataa kwenda misri, Misri hawawataki, na ndio maana mpaka wa Egypt-Gaza una ulinzi mkubwa kuliko mpaka wa Egypt-Israel
1000517466.jpg
 
Kumba na wapalestina nao hawatabaki duniani toa kauli yako ya kusema kifo kipo kwa wengine.
 
Kumba na wapalestina nao hawatabaki duniani toa kauli yako ya kusema kifo kipo kwa wengine.
Huna akili ndio maana hujaelewa nilichoandika. Nenda kwenye jukwaa la simba na yanga
 
Palestinians wapo pale na hakuna mahali wataenda. Ila nimewapenda sana watu hawa. Licha ya genocide na kuuawa Kwa maelfu bila sababu panapotulia tu, kama Ile siku ya mabadilishano ya hostages utawaona wako na Furaha kama vile hakuna kilichotokea
 
Back
Top Bottom