Ushahidi?Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa.
Na ni aibu hasa kwa wanaoshabikia haya yanayowakuta wapalestina.
May cowards get 10 times of suffering of Palestinians, may cowards eye never sleep.View attachment 3225665
Ni kweli hata wafanye nini hawatafanikiwa hicho wanachotaka kukifanyaHawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa.
Na ni aibu hasa kwa wanaoshabikia haya yanayowakuta wapalestina.
May cowards get 10 times of suffering of Palestinians, may cowards eye never sleep.View attachment 3225665
Labda wapige nuclear.Ni kweli hata wafanye nini hawatafanikiwa hicho wanachotaka kukifanya
Sidhani kama gaza ya waarabu itakuwepo tena ....nimetumia asilimia 60% ya akili zangu kujua jambo hili .....hivyo ningependa kuwaambia wa arabu koko na waislamu koko wa Tanzania kuwa kwa vyovyote vile wapalestina wataondolewa wote gaza ni swala la muda tu na wapi wapelekwe.Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa.
Na ni aibu hasa kwa wanaoshabikia haya yanayowakuta wapalestina.
May cowards get 10 times of suffering of Palestinians, may cowards eye never sleep.View attachment 3225665
labda kama huwajui wapalestina,pia jiulize haya maswali:Sidhani kama gaza ya waarabu itakuwepo tena ....nimetumia asilimia 60% ya akili zangu kujua jambo hili .....hivyo ningependa kuwaambia wa arabu koko na waislamu koko wa Tanzania kuwa kwa vyovyote vile wapalestina wataondolewa wote gaza ni swala la muda tu na wapi wapelekwe.
Subiri utaona wata ondolewaje ...wewe kaa tu kitini ...vinginevyo wataishi chini ya serikali ya Israel daima yani hadi polisi ya gaza watakuwa wameajiliwa na Israeli nk yaani gaza itakuwa kama koloni la Israellabda kama huwajui wapalestina,pia jiulize haya maswali:
1.nani atawaandoa wapalestina huko gaza?
2. atatumia sheria ipi ya duniani?
3.atawapeleleka wapi hao wapalestina?
4.wapalestina wapo kwao,nchini kwao unawaondoa kwa amri ya nani?
sawa,tusubiri tuoneSubiri utaona wata ondolewaje ...wewe kaa tu kitini ...vinginevyo wataishi chini ya serikali ya Israel daima yani hapi polisi ya gaza watakuwa wameajiliwa na Israeli nk yaani gaza itakuwa kama koloni la Israel