Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

View attachment 3166300

BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa

Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter

Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA! Tunahitaji ahadi kutoka kwa nchi hizi kwamba hawataunda Sarafu mpya ya BRICS, wala kuunga mkono sarafu nyingine yoyote kuchukua nafasi Dola ya Marekani yenye nguvu duniani, vinginevyo zitakumbana na ushuru wa asilimia 100 kwenye bidhaa wanazoingiza na zijiandae kuaga kuuza kwenye uchumi ulionona wa Marekani. Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine! BRICS haiwezi kuchukua nafasi ya Dola ya Marekani katika Biashara ya Kimataifa, na nchi yoyote itakayojaribu inapaswa kuaga Marekani !

The idea that the BRICS Countries are trying to move away from the Dollar while we stand by and watch is OVER. We require a commitment from these Countries that they will neither create a new BRICS Currency, nor back any other Currency to replace the mighty U.S. Dollar or, they will face 100% Tariffs, and should expect to say goodbye to selling into the wonderful U.S. Economy. They can go find another “sucker!” There is no chance that the BRICS will replace the U.S. Dollar in International Trade, and any Country that tries should wave goodbye to America.

Maoni yangu:

huu ujumbe katumiwa China, ndie mwanachama mkuu wa Brics, aking'oa nanga waliobaki hawana ubavu

Soko la Marekani limenona, Mchina hayupo tayari kuleta kiburi, Marekani ni soko kubwa lenye watu wengi wenye uwezo mkubwa wa kununua bidhaa hata kwa bei ya juu, Kupoteza soko hili ni pigo.

makampuni mengi yatahamisha viwanda vyao Marekani au nchi nyingine nje ya BRICS kukwepa ushuru, kuna hatari ya ukosefu wa Ajira viwanda vikifungwa, Ikumbukwe awamu ya mwanzo ya Trump viwanda vingi vilifungwa China kuhamia Marekani mfano Apple, HP, Dell, Go Pro, Nintendo, n.k. China hawezi kusahau haya maumivu

Nchi nyingi huimarisha uchumi kwa kuiuzia Marekani, mara nyingi hazina masoko madhubuti ya ndani kutokana na uwezo mdogo wa ununuzi miongoni mwa raia wao

Pia Soma >> Marais wa Mexico na Canada waliokataa kudhibiti wahamiaji haramu kuingia Marekani wachutama baada ya Trump kutishia kuongeza ushuru kwa 25%
Mnapo ambiwa Urais sio rahisi muwe mnaelewa huu ni mpango ulio pikwa ukapikika na sasa unawekwa mezani uliwe endeleeni kucheza na vichwa cc Tz government yajayo ni lahaa
 
Sidhani kama hili linahitaji ubishani, Uchumi wa China kufika hapo ulipo ni nguvu ya US na Ulaya. Bila US China asingefika hapo.

China anauza sana US, muda huohuo kampuni nyingi saaana za Ulaya zimewekeza China. Kati ya mataifa ambayo sio rahisi kupambana na US ni China.
Ndio maana wanajuwa pakumtekenyea na akacheka sana
 
30 October 2024

Tanzania and Russia Elevate Diplomatic Ties with a New Commission on Trade and Economic Cooperation

View: https://m.youtube.com/watch?v=7a8oWRezLUk

Tanzania and Russia held their first Joint Intergovernmental Commission on Trade and Economic Cooperation on October 29, 2024, at the Julius Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam.

The meeting was preceded by the commission's technical meeting on October 28, 2024, hosted by Tanzania's Permanent Secretary President’s Office Planning and Investment, Tausi Kida, and her Russian counterpart Pavel Kalmychek, the Director of the Department for Bipartite Cooperation Development, Ministry of Economic Development.

The meeting commission comes following the visit of the Minister of Economic Development of the Russian Federation, Maxim Reshetnikov, and his delegation ...

source

CcKiziwi mweee
 
Wewe bwege kichwa maji, Bidhaa zikiadimika Marekani ni viwanda ndani ya Marekani vitaongeza uzalishaji, Marekani haitaji Production materials kutoka CHINA, CHINA hana resources ambayo USA anaihitaji, alichonacho CHINA ni cheap labour force tu.
CHINA sio RUSSIA ....RUSSIA ana resources nyingi ambazo dunia inazihitaji, CHINA is just a manufacturer sasa ambaye anategemea soko la Marekani akauze

TZ tusipoiuzia KENYA mahindi nani anaumia? KENYA anaagiza Mahindi Brazil, TZ sekta ya kilimo inakufa
Kwa mtu ambae hafanyi biashara kwa mapana hawezi kukuelewa ila mfanyabiashara anayeingiza faida za walau (kwa sisi wananchi wa kawaida Tz) milions atakuelewa hiki unachosema.
 
Huyo Marekani yeye anauza wapi? Ukitoa ulaya ambayo kwanza uchumi wao usha fikia kikomo cha kukua, Marekani anategemea kuuza China ,India na Brazili.

Pia kumbukeni Bricks wana natural resources za kutosha hasa China Russia,Irani, Brazili.
Marekani anauza fedha(mikopo) na silaha.Dollar ilipata nguvu kwa mara ya kwanza baada ya vita kuu ya pili ya dunia .USA hawakupigana walitoa silaha kwa mikopo na mikopo ya fedha kwa nchi zinazopigana Yeye aliingia dakika ya mwisho na vita ikaisha.Ujerumani ilikuwa inadaiwa deni la vita kwa muda mrefu na waliendelea kulilipa huku marekani ikisisitiza walipe kwa dola so historia ya marekani yeye si kuuza bidhaa yeye amejikta kwenye mikopo na silaha ndio maana vita duniani havitakwisha.Congo anaye supply silaha ni USA ,huku wahalifu wakipeleka madini kwa silaha .Umesikia USA wamelaani watu kufa Congo neee.Mtapigana mpaka waamue.Angola walipigana wakimpa silaha na fedha Savimbi ,huku pa akiipa serikali mikopo ya kukabiliana na Savimbi ,walipoona maslahi yao tayari ,they killed Savimbi na vita ikaisha .Soma sama soma uchumi wa dunia
 
Mimi sielewi mwendazake alikuwa na next game gani,maana naona kwa sasa tunavuma kama upepo na matokeo hayasomeki direct.
 
Ukipandisha ushuru watakao umia ni watumiaji wa mwisho wa nchini kwako.

Kafuatilie trade war ya marekani na China 2018 Trump hajaanza kuwa mwendawazimu leo.

Uzuri ana deal na mataifa yenye akili yanayo nufahika na upumbavu wake.
Akipandisha ushuru maana yake competition yabidhaa itakua kubwa mana ujue bidhaa zachina saiv zinauzika sana kwakua nibei chini sasa zikipandishwa kodi means zitauzwa bei juu nawatu hawatazinunua tena watanunua kutoka makampun mengine yenye nafuu
 
View attachment 3166300

BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa

Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter

Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA! Tunahitaji ahadi kutoka kwa nchi hizi kwamba hawataunda Sarafu mpya ya BRICS, wala kuunga mkono sarafu nyingine yoyote kuchukua nafasi Dola ya Marekani yenye nguvu duniani, vinginevyo zitakumbana na ushuru wa asilimia 100 kwenye bidhaa wanazoingiza na zijiandae kuaga kuuza kwenye uchumi ulionona wa Marekani. Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine! BRICS haiwezi kuchukua nafasi ya Dola ya Marekani katika Biashara ya Kimataifa, na nchi yoyote itakayojaribu inapaswa kuaga Marekani !

The idea that the BRICS Countries are trying to move away from the Dollar while we stand by and watch is OVER. We require a commitment from these Countries that they will neither create a new BRICS Currency, nor back any other Currency to replace the mighty U.S. Dollar or, they will face 100% Tariffs, and should expect to say goodbye to selling into the wonderful U.S. Economy. They can go find another “sucker!” There is no chance that the BRICS will replace the U.S. Dollar in International Trade, and any Country that tries should wave goodbye to America.

Maoni yangu:

huu ujumbe katumiwa China, ndie mwanachama mkuu wa Brics, aking'oa nanga waliobaki hawana ubavu

Soko la Marekani limenona, Mchina hayupo tayari kuleta kiburi, Marekani ni soko kubwa lenye watu wengi wenye uwezo mkubwa wa kununua bidhaa hata kwa bei ya juu, Kupoteza soko hili ni pigo.

makampuni mengi yatahamisha viwanda vyao Marekani au nchi nyingine nje ya BRICS kukwepa ushuru, kuna hatari ya ukosefu wa Ajira viwanda vikifungwa, Ikumbukwe awamu ya mwanzo ya Trump viwanda vingi vilifungwa China kuhamia Marekani mfano Apple, HP, Dell, Go Pro, Nintendo, n.k. China hawezi kusahau haya maumivu

Nchi hizi mara nyingi hazina masoko madhubuti ya ndani kwa bidhaa wanazouza Marekani kutokana na uwezo mdogo wa ununuzi miongoni mwa raia wao

Pia Soma >> Siku chache baada ya Trump kutishia kuongeza Tozo, Mexico na Canada wametii amri kudhibiti wahamiaji haramu
Pumbavu huyu,hapa ni ubaya ubwela kama China.

Wakimwaga mboga wengine wamwage Ugali.
 
Kwani mpaka wanakuja kuagiza hizo bidhaa kwenye nchi zingine hizo bidhaa za ndani hazikuwepo au walikuwa hawazioni?
Viwanda vya nchini Marekani vina jiendesha kwa gharama kubwa sana hivyo kufanya bidhaa zao kuwa juu pia, ndio maana raia wa Marekani wanakimbilia kununua bidhaa za nchi nyingine.
Ni sawa na sisi hapa sukari ya kiwango cha juu kutoka Brazil ina uzwa kwa 1800 wakati sukari isiyo kuwa na ubora kutoka mtibwa inauzwa 3500 hicho ndo kitakacho wakuta wamarekani.
Wabongo watakulewa basi wao wanasema mamtoni huwaambii baya wakakuelewa kuhusu usa
 
Exactly na matokeo yake products za China zitakua expensive kuliko za ndani au nchi zingine, so wanunuzi watanunua za wapi?? Common sense tu wala sio majazba, imani au uchawi - typical business
Mfano apo iwekewe taarif 100% unadhani market share yake kwa dunia nzima itakuwaje si kampuni itajfia
 
Mwam
Unafikiri mambo ni rahisi hivyo kasome kwanza comment # 53

Hata afanye nini bado supply chain ya Marekani haina uwezo wa kutengeneza bidhaa zote inayo-import kutoka China at lower cost

Na kuna bidhaa za China hata zikiongezewa tariffs hadi 100% bado zitakuwa cheaper tofauti na za Marekani

Kuna bidhaa Marekani ataimport kutoka mataifa mengine ila zitaingia kama 3rd party kutoka China

Manufacturing ecosystem, supply chain na skilled personnel bado ni changamoto nyingine kubwa Marekani haiko full package kama ya Mchina

Kosa kubwa alilofanya Marekani ni kuufanya uchumi wake utegemee hasa service sector huku manufacturing sector ikidorora. Na kuinyanyua manufacturing industry mzee sio an overnight process

Marekani alitakiwa ajitoe (decoupling) kwa China miaka 30 iliyopita kwa sasa ni too late achana na maneno ya wanasiasa kama Trump hiyo ni kuwahadaa tu wapiga kura wake.

Ila U.S chamber of commerce, Federal Reserve, U.S dept of treasury wanafahamu hilo kwamba Trump anabwabwaja tu hakuna atakachofanikiwa

Umejibu kwa weled sana. Mwambie athletewa apple 17 kwa 7.1m atanunua ? Huku huawei with hight tech ikiizwa 3.2m
 
Labda watu wamekuwa wajinga kupindukia au uwezo wangu wa kufikiria umeporomoka beyond reasonable doubts.

Marekani ni nchi iliyoendelea, hivyo ni nchi yenye viwanda vya karibia kila bidhaa wao wanaitengeneza. Hili linamfanya USA kuhitaji raw materials nyingi kuliko finished products ili aweze kuvisustain viwanda vyake. Juu ya yote, hakuna bidhaa inayoongaza kuuzwa na Marekani kama shilingi yake.

BRICS inataka kuanza kuuza bidhaa zao kwa shilingi zao, sio tena dollar. Mfano, vitu vyote China anavyoviuza nje, basi analipwa kwa dollar, vyote anavyonunua alinapa kwa dollar. Ina maana biashara zote za mchina malipo yake ni dollar. Kama mchina akiamua kuanza kuuza bidhaa zake kwa yuan, inamaanisha nchi zote duniani zitakazotaka kufanya biashara n mchina itabidi zinunue Chinese yuan kwanza, ndio zikanunue bidhaa za kichina.

Ukizingatia mchina anafanya biashara na takriban Dunia nzima, basi Dunia nzima itabidi inunue pesa ya mchina*yuan kwanza badala ya dola ndio iendeleze biashara n mchina. Hili litainufaisha China kuliko maelezo, maana bidhaa yake kuu itakuwa ni pesa ya China, ndio bidhaa nyingine zifuate.

USA n mchina hakuna anayemtegemea mwenzie 100%, Ina wote wanategemeana, haswa USA anamtegemea mchina zaidi. ¹Anahitaji mchina auze na anunue kutumia dola, ² analihitaji soko la kichina linunue bidhaa zake ghali na ³anahitaji mchina amuuzie malighafi ili viwanda vyake visife. Mchina analihitaji soko la bwanyenye la usa tu ili aweze kuziuza bidhaa zake USA.

Hapo nimemtumia mchina kama mfano. Ila kumbukeni tunaiongelea brics nzima. USA inaihitaji brics kuliko brics inavyomhitaji. Maana dhumuni kuu la kuundwa kwa brics ni kuunda soko kubwa (nchi wanachama zitegemeane kimasoko) ili ziweze kulipotezea soko la USA.

Kwa sasa USA ananunua gesi n mafuta ya mrusi kwa rubbles. Na huu ni mwanzo tu, sasa itakuwa brics nzima. Hii nchi zitaendelea n kupiga hatua bila ya USA kuliko hata alipokuwepo. USA amewapa soko la Bure, ila anawanyonya kupita maelezo. Kama mnavyojua, mfa maji haishi kutapatapa. Hivyo USA anguko lake sasa rasmi limefika. Potelea mbali *****, skuizi watu sio washenzi kama zamani. Putin ndio anguko la USA rasmi. Ndio maana USA yupo tayari kutumia matrilioni ya dola za kimarekani kumuondoa putin kwenye uso wa Dunia lakini hawezi. Juu ya yote, kumbukeni kauli mbiu ya brics ni kuzisaidia nchi wanachama kukuwa kiuchumi na sio kuendelea kumsaidia USA aendelee kuwa tajiri hasi duniani. Aishi maisha marefu putin, Aishi maisha marefu putin. Tunaihitaji Dunia bila mashoga.
Hapo ulisema usa anaviwanda vingi basi nikaacha kuendelea kusoma .uchumi wa usa umejengwa kwa huduma na sio uzalishaji kama ulivyochina
 
Canada yupo kwenye play role ya kichaa Trump tariff 25% zitamuhusu yeye na Mexico.

Trump kaja kuizamisha kabisa marekani
Katika kipindi ambacho usa is vulnerable alipaswa kumpata kiongozi makini na Trump sip miomgon mwao ..naona atarahisicha hilo kutokea
 
Back
Top Bottom