Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

Mnapo ambiwa Urais sio rahisi muwe mnaelewa huu ni mpango ulio pikwa ukapikika na sasa unawekwa mezani uliwe endeleeni kucheza na vichwa cc Tz government yajayo ni lahaa
 
Ndio maana wanajuwa pakumtekenyea na akacheka sana
 

CcKiziwi mweee
 
Kwa mtu ambae hafanyi biashara kwa mapana hawezi kukuelewa ila mfanyabiashara anayeingiza faida za walau (kwa sisi wananchi wa kawaida Tz) milions atakuelewa hiki unachosema.
 
Huyo Marekani yeye anauza wapi? Ukitoa ulaya ambayo kwanza uchumi wao usha fikia kikomo cha kukua, Marekani anategemea kuuza China ,India na Brazili.

Pia kumbukeni Bricks wana natural resources za kutosha hasa China Russia,Irani, Brazili.
Marekani anauza fedha(mikopo) na silaha.Dollar ilipata nguvu kwa mara ya kwanza baada ya vita kuu ya pili ya dunia .USA hawakupigana walitoa silaha kwa mikopo na mikopo ya fedha kwa nchi zinazopigana Yeye aliingia dakika ya mwisho na vita ikaisha.Ujerumani ilikuwa inadaiwa deni la vita kwa muda mrefu na waliendelea kulilipa huku marekani ikisisitiza walipe kwa dola so historia ya marekani yeye si kuuza bidhaa yeye amejikta kwenye mikopo na silaha ndio maana vita duniani havitakwisha.Congo anaye supply silaha ni USA ,huku wahalifu wakipeleka madini kwa silaha .Umesikia USA wamelaani watu kufa Congo neee.Mtapigana mpaka waamue.Angola walipigana wakimpa silaha na fedha Savimbi ,huku pa akiipa serikali mikopo ya kukabiliana na Savimbi ,walipoona maslahi yao tayari ,they killed Savimbi na vita ikaisha .Soma sama soma uchumi wa dunia
 
Mimi sielewi mwendazake alikuwa na next game gani,maana naona kwa sasa tunavuma kama upepo na matokeo hayasomeki direct.
 
Ukipandisha ushuru watakao umia ni watumiaji wa mwisho wa nchini kwako.

Kafuatilie trade war ya marekani na China 2018 Trump hajaanza kuwa mwendawazimu leo.

Uzuri ana deal na mataifa yenye akili yanayo nufahika na upumbavu wake.
Akipandisha ushuru maana yake competition yabidhaa itakua kubwa mana ujue bidhaa zachina saiv zinauzika sana kwakua nibei chini sasa zikipandishwa kodi means zitauzwa bei juu nawatu hawatazinunua tena watanunua kutoka makampun mengine yenye nafuu
 
Pumbavu huyu,hapa ni ubaya ubwela kama China.

Wakimwaga mboga wengine wamwage Ugali.
 
Wabongo watakulewa basi wao wanasema mamtoni huwaambii baya wakakuelewa kuhusu usa
 
Exactly na matokeo yake products za China zitakua expensive kuliko za ndani au nchi zingine, so wanunuzi watanunua za wapi?? Common sense tu wala sio majazba, imani au uchawi - typical business
Mfano apo iwekewe taarif 100% unadhani market share yake kwa dunia nzima itakuwaje si kampuni itajfia
 
Mwam Umejibu kwa weled sana. Mwambie athletewa apple 17 kwa 7.1m atanunua ? Huku huawei with hight tech ikiizwa 3.2m
 
Hapo ulisema usa anaviwanda vingi basi nikaacha kuendelea kusoma .uchumi wa usa umejengwa kwa huduma na sio uzalishaji kama ulivyochina
 
Canada yupo kwenye play role ya kichaa Trump tariff 25% zitamuhusu yeye na Mexico.

Trump kaja kuizamisha kabisa marekani
Katika kipindi ambacho usa is vulnerable alipaswa kumpata kiongozi makini na Trump sip miomgon mwao ..naona atarahisicha hilo kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…