Acha kuandika vitu usivyo na uelewa navyo kwa mihemkoHaina shaka tusbiri BRICS
Kwani ni ugomvi, tusubiri kikao cha wachawi kitaporushwa kwenye trash na maisha yaendeleeAcha kuandika vitu usivyo na uelewa navyo kwa mihemko
Huna akili hizo asilimia 90 za China kuitegemea Marekani imeitoa wapi ?Kaka bila Marekani hamna China, 90% ya mapato ya China yanatoka US na anajua hilo! So ni muda wa kujitenga nao, ukipigwa 100% tariff ni kwamba hamna bidhaa yake itauzika tena US na Jinping hatokubali hili kwa namna yoyote.
BRICS ilichokosea ni kwamba imekaa ili kuua dollar sio kwa maendeleo yake, yani ni kikao cha wachawi! Ukianza vikao vya kuua wengine ni kwamba umefeli at the 1st place, maana unayetaka kumuua hatakaa kukusubiri ufanye yako bila kujilinda kwa nguvu kubwa kuliko yako! Sasa Marekani kashikilia mpini unamuuaje?
Ujinga ni mwingi humu.Umeambiwa us ndiyo taifa lenye uchumi mkubwa Dunia kuanzia wafanyakazi wa ndani, mpaka wale wa mashambani wanamzidi mshahara mkuu wa wilaya ya malinyi hapa nchini kwako. Bora kuwa mfanyakazi wa shambani US kuliko kuwa doctor Tanzania..
Sasa name calling ya nini? Ukue kijana acha uharo! Umekosa hoja? Ndio maana mnafeliHuna akili hizo asilimia 90 za China kuitegemea Marekani imeitoa wapi ?
Unajua inauza bidhaa kiasi gani hapa duniani mpaka useme eti China anategemea Marekani kwa %90?
Unadhani Roman empire ottoman empire na past empire nyengine zilikua zimeuchoka ukaka mkubwa endelea kukaa hapo hapoTunasema kila siku dollar imeumbwa na kujengwa kwa nguvu na fitna na ubabe, na hamna wa kuishusha bila kuadhirika yeye! Mchina hawezi kwa namna yoyote kupoteza soko la Marekani! Na hamna US haitokubali kwa namna yoyote kupoteza ukaka mkubwa! Ilijaribu Euro ikafa kifo cha kawaida sembuse hizi nchi zenye umri usiozidi miaka 100? Yetu macho, wahafidhina wa Urusi na washabiki wa vita povu ruksa.
Ila huyo mwendawazimu DT anaweweseka na huo umoja wa wanywa kahawa ?Brics ni kijiwe cha kahawa. Hamna kitu pale.
Wala usijali bwana utamu, dollar haitaanguka kwa uchawi na maombi, take or leave itUnadhani Roman empire ottoman empire na past empire nyengine zilikua zimeuchoka ukaka mkubwa endelea kukaa hapo hapo
Kama ni hivyo basi China atachagua bega 😂Kaka bila Marekani hamna China, zaidi ya $700+ Billion ya mapato ya China yanatoka US na anajua hilo! So ni muda wa kujitenga nao, ukipigwa 100% tariff ni kwamba hamna bidhaa yake itauzika tena US na Jinping hatokubali hili kwa namna yoyote.
BRICS ilichokosea ni kwamba imekaa ili kuua dollar sio kwa maendeleo yake, yani ni kikao cha wachawi! Ukianza vikao vya kuua wengine ni kwamba umefeli at the 1st place, maana unayetaka kumuua hatakaa kukusubiri ufanye yako bila kujilinda kwa nguvu kubwa kuliko yako! Sasa Marekani kashikilia mpini unamuuaje?
Kwani mpaka wanakuja kuagiza hizo bidhaa kwenye nchi zingine hizo bidhaa za ndani hazikuwepo au walikuwa hawazioni?Hujui màana ya kupandisha ushur mkuu, maana yake bidhaa za ndani zitapewa kipaumbele na kuangalia soko nafuu zaidi. Kumbuka bidhaa anazozalisha china kupeleka Marekani siyo kwamba Marekani hazipo ndiyo maana umeambiwa na Mr Trump 'wonderful economy ' Sasa unahisi wamarekani Wana njaa? Kwa ufupi ni kwamba iwapo US itapandisha Kodi kwa bidhaa za china itabidi makampuni ya wamarekani yenye viwanda china kwa sababu ya cheap labours yatabidi yawe reallocated US ili kujiendesha kwa faida. Na hii itapelekea china kuanguka kiuchumi kwa raia wake kukosa ajira na serikali kukosa mapato ya mauzo. Trump akili kubwa yule Mzee.
Umeiba koment yangu kijana nilikua nataka niwaulize wamarekani wa jf hapa walisema brics sio threat kwa marekani na dola yao sasa inakuaje wana haha haha namna hii hawa mabwana halaf dt ni debe tupu tuuuuNyinyi wamarekani wa Namanga simlikuwa mna sema BRICS hamna kitu haina madhara kwa Marekani ?
Sasa iweje uanze kushindana na kitu kusicho na madhara kwako?
Nchi zilizoko kwenye brics zina miliki zaidi ya theruthi moja ya uchumi wa dunia , zinamiliki zaidi ya %60 ya population ya dunia.
Akipandisha ushuri hata maisha ya wamarekani yatakuwa magumu sana maana mfumko wa bei utakuwa mkubwa sana kitu moja wapo kilicho sababishwa chama cha Democratic kuanguka kwenye uchaguzi.
Kumbe hata hakuna unacho jua kuhusu uchumi ila unaongea kwa kunukuu sitori za vijiweni?Umeambiwa us ndiyo taifa lenye uchumi mkubwa Dunia kuanzia wafanyakazi wa ndani, mpaka wale wa mashambani wanamzidi mshahara mkuu wa wilaya ya malinyi hapa nchini kwako. Bora kuwa mfanyakazi wa shambani US kuliko kuwa doctor Tanzania..
Kwamba wakati China inapata hizo dola kutoka marekani wao marekani hawapati lolote kwanza unaelewa maana ya biashara kijana au umeandika tuuu unakumbuka Huawei ilitwangwa vikwazo kila kona na tarrif kibao marekani ikiamini itakua ndio mwisho wa Huawei matokeo yakeKaka bila Marekani hamna China, zaidi ya $700+ Billion ya mapato ya China yanatoka US na anajua hilo! So ni muda wa kujitenga nao, ukipigwa 100% tariff ni kwamba hamna bidhaa yake itauzika tena US na Jinping hatokubali hili kwa namna yoyote.
BRICS ilichokosea ni kwamba imekaa ili kuua dollar sio kwa maendeleo yake, yani ni kikao cha wachawi! Ukianza vikao vya kuua wengine ni kwamba umefeli at the 1st place, maana unayetaka kumuua hatakaa kukusubiri ufanye yako bila kujilinda kwa nguvu kubwa kuliko yako! Sasa Marekani kashikilia mpini unamuuaje?
Umri unasaidia nini sasa. Hao brics wanafanya biashara na Marekani pia hawawezi kuikimbia dola. Kama ingekua rahisi hivyo wangeshafanya wanachokitaka. Narudia tena ni kijiwe cha kahawa 🤣🤣🤣🤣.Ila huyo mwendawazimu DT anaweweseka na huo umoja wa wanywa kahawa ?
Humu ifike muda vipimo vya umri vianze
Wacha wee,mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Tegeta kwa ndevu.Kwani ni ugomvi, tusubiri kikao cha wachawi kitaporushwa kwenye trash na maisha yaendelee
Unataka tuandike hoja gani wakati mna andika upumbavu?Sasa name calling ya nini? Ukue kijana acha uharo! Umekosa hoja? Ndio maana mnafeli
Hapo ndio mtego ulipo. Weka jiwe niweke chuma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣the coalition of non-Western countries “should expect to say goodbye to selling into the wonderful U.S. Economy” if it backs a currency other than the U.S. dollar.
In the long run huu ushuru na sanctions zitafail...View attachment 3166300
BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa
Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter
Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA! Tunahitaji ahadi kutoka kwa nchi hizi kwamba hawataunda Sarafu mpya ya BRICS, wala kuunga mkono sarafu nyingine yoyote kuchukua nafasi Dola ya Marekani yenye nguvu duniani, vinginevyo zitakumbana na ushuru wa asilimia 100 kwenye bidhaa wanazoingiza na zijiandae kuaga kuuza kwenye uchumi ulionona wa Marekani. Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine! BRICS haiwezi kuchukua nafasi ya Dola ya Marekani katika Biashara ya Kimataifa, na nchi yoyote itakayojaribu inapaswa kuaga Marekani !
The idea that the BRICS Countries are trying to move away from the Dollar while we stand by and watch is OVER. We require a commitment from these Countries that they will neither create a new BRICS Currency, nor back any other Currency to replace the mighty U.S. Dollar or, they will face 100% Tariffs, and should expect to say goodbye to selling into the wonderful U.S. Economy. They can go find another “sucker!” There is no chance that the BRICS will replace the U.S. Dollar in International Trade, and any Country that tries should wave goodbye to America.
Hakuna atakachofanya . Urusi kwa sasa anawapelekea moto huko huko NATO na USATunasema kila siku dollar imeumbwa na kujengwa kwa nguvu na fitna na ubabe, na hamna wa kuishusha bila kuadhirika yeye! Mchina hawezi kwa namna yoyote kupoteza soko la Marekani! Na hamna US haitokubali kwa namna yoyote kupoteza ukaka mkubwa! Ilijaribu Euro ikafa kifo cha kawaida sembuse hizi nchi zenye umri usiozidi miaka 100? Yetu macho, wahafidhina wa Urusi na washabiki wa vita povu ruksa.