Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

Ulitaka China aje anunulie maji ya kunywa watu wako kariakoo ? Huku serikali yako ikinunulia simba na yanga magoli ? Zimo wewe

Mnashindwa kujenga nchi zenu mnasubiri China na India waje wawajengea, akili zimo kweli ?

Muwe na kundi kubwa la watu wenye akili kama zako unafikiri kuna kuendelea kweli ? Haishangazi kuona hii nchi haiendelei kama vichwa vilivyo jaa ndio hivi
Sisi ni nchi ya Dunia ya tatu,Leo hii tunashangilia SGR wakati setilite hatuna,mifumo ya malipo inakwamisha speed ya miradi,Kodi inakusanywa inalipia madeni kichefuchefu yaliyokopwa na Ikulu,sasa kama kusema hivyo nakosea hebu jikague mwilini mwako ni bidhaa ngapi mwilini mwako na ofisini kwako zinatoka china,na je kwanini mazao yauzwe kama raw materials wakati sisi tunaagiza chocolate bar nje,huu ni wakati tuongee lugha Moja,tuko na hali dhoofu kama taifa,Barabara mkondo mmoja toka Dsm mpaka Tunduma ni death penalty kwa masaa yote hayo,nayo haya maajari ya kisiasa ni mipango mibovu pia.huwezi kuwa na vyama vimepigwa pingu hata haviwezi kuwa na miradi mikubwa sababu tuu bwana Lumumba atakosa kung'aa hapo juu.
 
Hizo ni beats tu kama zile za Dr.Dre....Mipango ya Brics iko pale pale tena Trump asivyoipenda China ndio muda mzuri wa China kumkomoa
China analitegemea soko la Marekani sana na ni two headed serpent hawajawahi kuwa na msimamo thabiti, itakuwa radhi kuwatosa wenzake kwa sababu za kiuchumi. Mambo ya pride/ego wameshayaacha kitambo these days huwa wanaangalia faida za kiuchumi.
 
Vipi ile Sanction ya Huawei Bado wako sokoni Huawei?
Hauna taarifa za karibuni za Huawei?

Kwenye miezi 3 ya mwanzo ya mwaka huu HUAWEI wamegenerate $26 billion na ongezeko la net profit limepanda kwa 360%.

Juzi tu hapo wametoka kuzindua Mate 70 inatumia Harmony OS na sio Android, imagine ilipata over 1 million pre order in the first hour last week. Ina 5G Kirin chip ya 5nm iliyotengenezwa China. Kila kitu ni China made hakuna takataka kutoka nje ya China.

Na kabla ya hapo walitoa Mate XT the world's first triple folding phone. Ilikuww na 4m pre-order ndani ya saa kadhaa tangu izinduliwe ulizia bei bila $2,800 utaishia kuiangalia tu kwenye shelf.

Kabla ya Mate XT walitoa Huawei Pura nayo ilifanya vizuri sokoni

Wanafanya vitu vikubwa kwenye simu zao ambavyo hata Apple hawafanyi

Mwaka 2019, Huawei walikuwa na biashara 2 kubwa hasa 4G/5G networks na mobile phones.

Mwaka 2024, Huawei imeongeza wigo wa biashara mfano sasa wamewekeza kwenye AI cars kama AITO, kutengeneza na kuuza chips, databases, ERP, HarmonyOS operating systems, development tools n.k

Kwa sasa Huawei ndio kampuni yenye R&D center kubwa na ya kisasa zaidi duniani

World's modern and biggest R&D center

Kama kampuni inaweza kuoffer 3x the salary for top-notch scientists and engineers from around the world unategemea nini

Huawei is banned because American companies can't compete. Huawei has superior technology, and the gap is only growing
 
Sisi ni nchi ya Dunia ya tatu,Leo hii tunashangilia SGR wakati setilite hatuna,mifumo ya malipo inakwamisha speed ya miradi,Kodi inakusanywa inalipia madeni kichefuchefu yaliyokopwa na Ikulu,sasa kama kusema hivyo nakosea hebu jikague mwilini mwako ni bidhaa ngapi mwilini mwako na ofisini kwako zinatoka china,na je kwanini mazao yauzwe kama raw materials wakati sisi tunaagiza chocolate bar nje,huu ni wakati tuongee lugha Moja,tuko na hali dhoofu kama taifa,Barabara mkondo mmoja toka Dsm mpaka Tunduma ni death penalty kwa masaa yote hayo,nayo haya maajari ya kisiasa ni mipango mibovu pia.huwezi kuwa na vyama vimepigwa pingu hata haviwezi kuwa na miradi mikubwa sababu tuu bwana Lumumba atakosa kung'aa hapo juu.
Hayo ni matatizo yenu pambaneni na hali zenu hayo hayawahusu China na India.

Kwa sababu hata wao kabla na sasa matatizo yao hawakujisumbua wala hawajisumbui kuwashirikisha muwa tatulie.
 
China analitegemea soko la Marekani sana na ni two headed serpent hawajawahi kuwa na msimamo thabiti, itakuwa radhi kuwatosa wenzake kwa sababu za kiuchumi. Mambo ya pride/ego wameshayaacha kitambo these days huwa wanaangalia faida za kiuchumi.
Juzi wamezindua bomba kubwa la gesi lengine mpaka Shanghai kutoka Russia.

Nafasi ya Ulaya sio muda mrefu itazibwa na China na India katika gesi ya URUSI wakiendelea na upuuzi wao wa kuwa mbwa wa Marekani.

Na malipo waliingia makubaliano ya Ruble na Yuan

Sasa hapa ni nani China anyepaswa kumsikiliza Russia anaye chukua kwake gas ya kutosha au huyu marekani wa tarrif 100% ?
 
Huyo Marekani yeye anauza wapi? Ukitoa ulaya ambayo kwanza uchumi wao usha fikia kikomo cha kukua, Marekani anategemea kuuza China ,India na Brazili.

Pia kumbukeni Bricks wana natural resources za kutosha hasa China Russia,Irani, Brazili.
Natural resources za USA, Canada
 
Analysis yako ni ya kipori-pori kweli kweli. Kwa nini sasa China halazimishi hiyo yuan yake itumike kama ulivyosema? Jibu ni kuwa biashara ya duania haiko rahisi kama unavyodhani wewe.
Fikra zako ni finyu pia. Umesahau hakuna chenye mwanzo bila mwisho. Hizi harakati zilivyoanza, mwisho mchina, mrusi n mataifa mengine yataiabandon dollar. Hizi revolutions ndio kwanza imeanza, matunda yatakuja. Hawajaanza maana harakati ndio kwanza zimeanza. Miaka michache baadae zitakuja kuzaa matunda tu. Kwa akili yako, ndio maana hata baada ya ukoloni, bado tunatawaliwa na mkoloni mweusi.
 
Dunia ya sasa hivi ondoa neno "haiwezekani....... haitokuja kutokea...." as long una watu waliokulia ktk mifumo bora ya elimu na research and development centers za kutosha kila kitu kinawezekana. Wanaweza wakachelewa ila sio kusema haiwezekani. Russia na China watu wanao,mazingira mazuri ya kuwajengea uwezo wanao na research centers wanazo ni swala muda tu meza inaweza pinduka.

Halafu dunia sasa hivi ipo ktk don't care stage, mataifa siku hizi haya ogopi vikwazo ndio maana siku hizi machafuko na vita vinaongeza kila kukicha.
 
Kama ni hivyo basi China atachagua bega 😂
Ndio ukweli, hii ni vita ya maslahi na hamna mtu atakubali kupoteza alichojijengea tayari kwa ajili ya kujenga kipya ambacho kwanza hana hata uhakika kama kitafanikiwa! Na tusasahau hii miungano inavunjwa kwa divide and rule!
 
Hujui màana ya kupandisha ushur mkuu, maana yake bidhaa za ndani zitapewa kipaumbele na kuangalia soko nafuu zaidi. Kumbuka bidhaa anazozalisha china kupeleka Marekani siyo kwamba Marekani hazipo ndiyo maana umeambiwa na Mr Trump 'wonderful economy ' Sasa unahisi wamarekani Wana njaa? Kwa ufupi ni kwamba iwapo US itapandisha Kodi kwa bidhaa za china itabidi makampuni ya wamarekani yenye viwanda china kwa sababu ya cheap labours yatabidi yawe reallocated US ili kujiendesha kwa faida. Na hii itapelekea china kuanguka kiuchumi kwa raia wake kukosa ajira na serikali kukosa mapato ya mauzo. Trump akili kubwa yule Mzee.
Kwa hiyo unamaanisha Wachina ni mbumbu wa uchumi
 
Back
Top Bottom