Hata unachochangia haukijui, ila as long kamoyo kako kamefarijika, then, good for youTrump huyu anayetaka kuweka tariff asimilia 60% mpaka 100% kwa EVs za China akikutana na maoni yako aka translate atasema hakika Tanzania imejaza mbumbumbu.
Sisi ni nchi ya Dunia ya tatu,Leo hii tunashangilia SGR wakati setilite hatuna,mifumo ya malipo inakwamisha speed ya miradi,Kodi inakusanywa inalipia madeni kichefuchefu yaliyokopwa na Ikulu,sasa kama kusema hivyo nakosea hebu jikague mwilini mwako ni bidhaa ngapi mwilini mwako na ofisini kwako zinatoka china,na je kwanini mazao yauzwe kama raw materials wakati sisi tunaagiza chocolate bar nje,huu ni wakati tuongee lugha Moja,tuko na hali dhoofu kama taifa,Barabara mkondo mmoja toka Dsm mpaka Tunduma ni death penalty kwa masaa yote hayo,nayo haya maajari ya kisiasa ni mipango mibovu pia.huwezi kuwa na vyama vimepigwa pingu hata haviwezi kuwa na miradi mikubwa sababu tuu bwana Lumumba atakosa kung'aa hapo juu.Ulitaka China aje anunulie maji ya kunywa watu wako kariakoo ? Huku serikali yako ikinunulia simba na yanga magoli ? Zimo wewe
Mnashindwa kujenga nchi zenu mnasubiri China na India waje wawajengea, akili zimo kweli ?
Muwe na kundi kubwa la watu wenye akili kama zako unafikiri kuna kuendelea kweli ? Haishangazi kuona hii nchi haiendelei kama vichwa vilivyo jaa ndio hivi
China analitegemea soko la Marekani sana na ni two headed serpent hawajawahi kuwa na msimamo thabiti, itakuwa radhi kuwatosa wenzake kwa sababu za kiuchumi. Mambo ya pride/ego wameshayaacha kitambo these days huwa wanaangalia faida za kiuchumi.Hizo ni beats tu kama zile za Dr.Dre....Mipango ya Brics iko pale pale tena Trump asivyoipenda China ndio muda mzuri wa China kumkomoa
Vipi ile Sanction ya Huawei Bado wako sokoni Huawei?
Usingejisumbua kujibu.Hata unachochangia haukijui, ila as long kamoyo kako kamefarijika, then, good for you
Hayo ni matatizo yenu pambaneni na hali zenu hayo hayawahusu China na India.Sisi ni nchi ya Dunia ya tatu,Leo hii tunashangilia SGR wakati setilite hatuna,mifumo ya malipo inakwamisha speed ya miradi,Kodi inakusanywa inalipia madeni kichefuchefu yaliyokopwa na Ikulu,sasa kama kusema hivyo nakosea hebu jikague mwilini mwako ni bidhaa ngapi mwilini mwako na ofisini kwako zinatoka china,na je kwanini mazao yauzwe kama raw materials wakati sisi tunaagiza chocolate bar nje,huu ni wakati tuongee lugha Moja,tuko na hali dhoofu kama taifa,Barabara mkondo mmoja toka Dsm mpaka Tunduma ni death penalty kwa masaa yote hayo,nayo haya maajari ya kisiasa ni mipango mibovu pia.huwezi kuwa na vyama vimepigwa pingu hata haviwezi kuwa na miradi mikubwa sababu tuu bwana Lumumba atakosa kung'aa hapo juu.
Mimi nachojua Mtaji wa USA ndo unaendesha viwanda China,hayo mengine siyajui.
Lazima ujibiwe ili upunguze ujinga unaokupa confidence zinazokupelekea ku comment vituko. Ila ukiendelea baada ya hapa ndiyo nakuacha na ujinga wako.Usingejisumbua kujibu.
Juzi wamezindua bomba kubwa la gesi lengine mpaka Shanghai kutoka Russia.China analitegemea soko la Marekani sana na ni two headed serpent hawajawahi kuwa na msimamo thabiti, itakuwa radhi kuwatosa wenzake kwa sababu za kiuchumi. Mambo ya pride/ego wameshayaacha kitambo these days huwa wanaangalia faida za kiuchumi.
Natural resources za USA, CanadaHuyo Marekani yeye anauza wapi? Ukitoa ulaya ambayo kwanza uchumi wao usha fikia kikomo cha kukua, Marekani anategemea kuuza China ,India na Brazili.
Pia kumbukeni Bricks wana natural resources za kutosha hasa China Russia,Irani, Brazili.
nafasi ya kuonesha umbumbumbuLazima ujibiwe ili upunguze ujinga unaokupa confidence zinazokupelekea ku comment vituko. Ila ukiendelea baada ya hapa ndiyo nakuacha na ujinga wako.
Angalau nime play nafasi
Canada yupo kwenye play role ya kichaa Trump tariff 25% zitamuhusu yeye na Mexico.Natural resources za USA, Canada
Fikra zako ni finyu pia. Umesahau hakuna chenye mwanzo bila mwisho. Hizi harakati zilivyoanza, mwisho mchina, mrusi n mataifa mengine yataiabandon dollar. Hizi revolutions ndio kwanza imeanza, matunda yatakuja. Hawajaanza maana harakati ndio kwanza zimeanza. Miaka michache baadae zitakuja kuzaa matunda tu. Kwa akili yako, ndio maana hata baada ya ukoloni, bado tunatawaliwa na mkoloni mweusi.Analysis yako ni ya kipori-pori kweli kweli. Kwa nini sasa China halazimishi hiyo yuan yake itumike kama ulivyosema? Jibu ni kuwa biashara ya duania haiko rahisi kama unavyodhani wewe.
Ndio ukweli, hii ni vita ya maslahi na hamna mtu atakubali kupoteza alichojijengea tayari kwa ajili ya kujenga kipya ambacho kwanza hana hata uhakika kama kitafanikiwa! Na tusasahau hii miungano inavunjwa kwa divide and rule!Kama ni hivyo basi China atachagua bega 😂
Kwa hiyo unamaanisha Wachina ni mbumbu wa uchumiHujui màana ya kupandisha ushur mkuu, maana yake bidhaa za ndani zitapewa kipaumbele na kuangalia soko nafuu zaidi. Kumbuka bidhaa anazozalisha china kupeleka Marekani siyo kwamba Marekani hazipo ndiyo maana umeambiwa na Mr Trump 'wonderful economy ' Sasa unahisi wamarekani Wana njaa? Kwa ufupi ni kwamba iwapo US itapandisha Kodi kwa bidhaa za china itabidi makampuni ya wamarekani yenye viwanda china kwa sababu ya cheap labours yatabidi yawe reallocated US ili kujiendesha kwa faida. Na hii itapelekea china kuanguka kiuchumi kwa raia wake kukosa ajira na serikali kukosa mapato ya mauzo. Trump akili kubwa yule Mzee.
Hili jamaa lina matusi sana.They can go find another “sucker!”
Mjinga ni lazima haelimishwe.Kwani ni lazima ujibu kila post? Jibu za wenye akili wenzio? Ukijibu post za kichaa maana yake wewe ni kichaa zaidi, unahara tu
Hiki ni nini? Hahahaah. Kama ndio mwerevu mwenyewe huyu hata lugha ya mama anabofoa basi bora huo ujinga!Mjinga ni lazima haelimishwe.
Hapana kwa mujibu wa takwimu za mwaka huu ni ana miliki asilimia 17% tu za uchumi wa dunia.🤔🤔 Siyo 26% kweli