BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa
Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter
Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA! Tunahitaji ahadi kutoka kwa nchi hizi kwamba hawataunda Sarafu mpya ya BRICS, wala kuunga mkono sarafu nyingine yoyote kuchukua nafasi Dola ya Marekani yenye nguvu duniani, vinginevyo zitakumbana na ushuru wa asilimia 100 kwenye bidhaa wanazoingiza na zijiandae kuaga kuuza kwenye uchumi ulionona wa Marekani. Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine! BRICS haiwezi kuchukua nafasi ya Dola ya Marekani katika Biashara ya Kimataifa, na nchi yoyote itakayojaribu inapaswa kuaga Marekani !
The idea that the BRICS Countries are trying to move away from the Dollar while we stand by and watch is OVER. We require a commitment from these Countries that they will neither create a new BRICS Currency, nor back any other Currency to replace the mighty U.S. Dollar or, they will face 100% Tariffs, and should expect to say goodbye to selling into the wonderful U.S. Economy. They can go find another “sucker!” There is no chance that the BRICS will replace the U.S. Dollar in International Trade, and any Country that tries should wave goodbye to America.
Maoni yangu:
huu ujumbe katumiwa China, ndie mwanachama mkuu wa Brics, aking'oa nanga waliobaki hawana ubavu
Soko la Marekani limenona, Mchina hayupo tayari kuleta kiburi, Marekani ni soko kubwa lenye watu wengi wenye uwezo mkubwa wa kununua bidhaa hata kwa bei ya juu, Kupoteza soko hili ni pigo.
makampuni mengi yatahamisha viwanda vyao Marekani au nchi nyingine nje ya BRICS kukwepa ushuru, kuna hatari ya ukosefu wa Ajira viwanda vikifungwa, Ikumbukwe awamu ya mwanzo ya Trump viwanda vingi vilifungwa China kuhamia Marekani mfano Apple, HP, Dell, Go Pro, Nintendo, n.k. China hawezi kusahau haya maumivu
Nchi hizi mara nyingi hazina masoko madhubuti ya ndani kwa bidhaa wanazouza Marekani kutokana na uwezo mdogo wa ununuzi miongoni mwa raia wao
Pia Soma >> Siku chache baada ya Trump kutishia kuongeza Tozo, Mexico na Canada wametii amri kudhibiti wahamiaji haramu