Trump ndiye rais anaetukanwa kuliko wote duniani

Trump ndiye rais anaetukanwa kuliko wote duniani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Baada ya kusema Marekani haitachukua wahamiaji kutoka shit hole countries. Watu waliamdamana mpaka nyumbani kwake na kwa hasira wengine walivua suruali na kuonyesha shit holes zao, walipichoka waliondoka.

Jana nimeona comment kwenye gazeti inasema Trump ni an ass hole, nikasema huyu Lugola wao hayaoni haya?
 
Trump ni Raisi pia wa Africa .. Tangu aingie huyu mzee Propaganda za Kuinyonya Africa zimepungua pia ni Msema kweli saana. Sio mtu wa kuuwauwa kama ( ) anaijua Democracy

Ni Raisi aliyezuia Obama care yenye Ushetani Mkubwa saana

I love u Trump long life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila taifa na utamaduni wao, tamaduni zingine hasa za Afrika zipo ktk misingi ya kuheshimiana .Ukimtukana baba yako au mama yako kwa Afrika au mkubwa yeyote anaweza akakupa laana, rejea hadithi ya watoto wageuka kua mawe kitu ambacho kwa mataifa ya Ulaya na Amerika hakipo. Sina uhakika kama demokrasia itashamiri kwa haraka barani Afrika ikiwa matusi ni nguzo mojawapo ya demokrasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zuzumagic anajiita jiwe, yaani kichwa chake hakina sehemu ya kuhifadhi chochote ndio maana Wanyakyusa wanamwita Kuntu Kumu, yaani kichwani kukavu, badadala ya kuwa na ubongo Kuna pumba za mpunga na maranda ya mbao ambayo kule Mby tunayaita mapurulilo na tunayatumia kujifunzia kuruka sarakasi
 
Back
Top Bottom