baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Japo siwezi kukushauri chochote ila naweza kusema tu Trump ni miongoni mwa marais bora kuwahi kutokea Amerca na yupo kwa maslahi ya wamarekani kuliko kingine chochote.
Wewe unaishi USA 🇺🇸?!
Japo siwezi kukushauri chochote ila naweza kusema tu Trump ni miongoni mwa marais bora kuwahi kutokea Amerca na yupo kwa maslahi ya wamarekani kuliko kingine chochote.
Si ishi US ila kwa kuwa Rais wa Marekani yeyote ndio rais wa Dunia hivyo sina budi kumfuatilia hata TrumpWewe unaishi USA 🇺🇸?!
Ujinga mtaji wa WajanjaSi ishi US ila kwa kuwa Rais wa Marekani yeyote ndio rais wa Dunia hivyo sina budi kumfuatilia hata Trump
Mkuu andika hoja basi mipasho ya nini?Ujinga mtaji wa Wajanja
Methali ya kiingereza inasema:Mkuu andika hoja basi mipasho ya nini?
Andika hiyo methali mkuu mbona umeshindwa kukaa kimya.Methali ya kiingereza inasema:
Ni bora kukaa kimya na kudhaniwa ni mjinga, kuliko kufungua mdomo na kudhihirisha uvumi kuwa ni mjinga.
Piga kazi wewe unalala nini sasaAndika hiyo methali mkuu mbona umeshindwa kukaa kimya.
Mtu alishinda 2016, ila sleepy Joe hakukaa term mbili, huyo unayemuita mwehu ameshakaa term mbili, shida yako nini? Hiyo issue ya representatives kuzidiwa huku ama kule BAINA YA Dems & Reps ni kawaida kwa USA.Tatizo hauishi US halafu unajadili siasa za US kama unaishi nao kwa kutegemea taarifa zinazoendeshwa na algorithm
Unapomuona mtangazaji wa BBC au Aljazeera anaongelea siasa za US, ni kwa maana ni mkazi wa huko na hatafuti taarifa mitandaoni bali anayaishi maisha ya US, ndio maana media kubwa zinapeleka wawakilishi wao kuishi huko.
Kuongelea taarifa za uchaguzi wa 2016, kwenye matokeo ya 2024 ni dhahiri hujui kinachoendelea kwenye siasa za US,
Tusubiri tarehe 3 November, ili ujue jinsi wamarekani walivyochafukwa na huyo mwehu
Mshamba wa vijijiniMtu alishinda 2016, ila sleepy Joe hakukaa term mbili, huyo unayemuita mwehu ameshakaa term mbili, shida yako nini? Hiyo issue ya representatives kuzidiwa huku ama kule BAINA YA Dems & Reps ni kawaida kwa USA.
Kisa unakaa USA basi ndio unawajua wamarekani vizuri, wanakuchoreni tu nyie diasporas. Hakuna watu wanafiki kama hao jamaa, watakupiga plastic smiles na kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, behind the scene wanakuwazia mauti. Na ndio maana over 90% ya walioandamana 2020 walikuwa wazungu mliowafuata huko USA. Jamaa amejitahidi kusafisha USA ungekuta wahamiaji haramu mmejazana kama Ulaya, wajanja wanasafiri kupata exposure tu na kuwekeza makwao, wajinga wanajisifia kulowea ughaibuni na kujikuta wanajua kupita wenyeji.
Taarifa ya popote unaipata popote nowadays, and FYI, an algorithm is part of the modern world; you just keep on being used to get stuck behind. Siwakilishi media house yeyote, natoa maoni yangu, so acha kunifananaisha na maripota.
Shithole yenyewe ni thanks to Donald Trump, vijijini sio ushamba, maana sio USA, Europe, China and so on kuna vijiji, very well organized na wanaishi wanaojiweza, mijini ndio unakutana na slums mlimojificha Diasporas from shithole countries, and once a shit, forever a shit.Mshamba wa vijijini
US nzima ni nchi ya diaspora na ukishapata kinyago imeisha hiyo
Na huwezi kuelewa sababu wewe si raia wa US kwahiyo kaa kimya acha shobo
Wewe endelea kuwa mcha - mbuzi wa maisha na sio siasa za US kutokea shithole kantre kwasababu hujui kitu