kasi ya trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu mama samia na yeye awe na hii kasi.
hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa zinapaswa kufutwa fasta fasta
TRUMP anatoa THANK YOU haraka kuliko thank you za Simba na Yanga
View attachment 3225969