Trump njia ni nyeupe, Biden na Harris wanaenda kuangukia pua, Waliyataka wenyewe hawana pa kulalamika

Trump njia ni nyeupe, Biden na Harris wanaenda kuangukia pua, Waliyataka wenyewe hawana pa kulalamika

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ni baadhi ya vitu mbavyo Biden na Harris sambamba na Democrats wamevifanya vitavyomsafishia njia Trump.

Mfumuko wa bei, Maisha yamekuwa ghali zaidi kipindi cha Biden na Harris

1723220675320.png


Hakuna kitu kinawaumiza wamarekani middle class na class za chini zaidi kama mfumuko wa bei. Mafuta, umeme, Vyakula, Rent, n.k, vimepanda mno, kiufupi wametoka ku live saizi wanajitahidi ku survive

Kipindi cha Trump aliingia nchi ikiwa na hali ya uchumi mbaya na hata Obama alikiri kwamba kurejesha uchumi kunahitaji muujiza, ndicho Trump alichoweza kukifanya na kurahisisha maisha ya Wamarekani.


Kuruhusu maharamia milioni 20 nchini

Biden karuhusu Illegal Immigrants takribani milioni 20 wengi wakiwa ni wafungwa, wabakaji, child traffickers, wauaji, gang members, mapusha, n.k. waliotoroka nchi zao kukimbilia Marekani, Hii imepelekea hali ya uhalifu kushamiri. Isitoshe hivyo tu, Maharamia hawa wanalipiwa hoteli wakati kuna wamarekani wanaolipa kodi wanalala nje, wanalipiwa chakula, wanapewa pesa, n.k. Wamarekani wengi hawapendezwi kodi zao kulipia maharamia.

Trump kaahidi akirudi ataendelea na sera yake ya mwanzo iliyofanikiwa sana kuzuia maharamia, kipindi chake kuingia Marekani ilikuwa ngumu bila visa, ikiwemo policy ya stay in Mexico, No catch and release, kuongeza border patrols, mass deportations , n.k.

Kuruhusu wanaume kwenye michezo ya mabinti

1723219436193.png


Biden na Harris wamekuwa wafuasi wakubwa wa kuchochea wanaume wanaobadili jinsia kushiriki michezo ya wanawake, hali hii imesababisha michezo mingi ya wanawake kukosa mvuto huku madume hayo yaliyobadili jinisa yakivunja rekodi za michezo ya wanawake.

Kudharau wakristo.

Siku ya Pasaka ya mwaka huu, Biden na Harris waliigeuza Jumapili ya Pasaka iwe siku ya Mwonekano wa Watu waliobadili jinsia, ratiba za ikulu ya Marekani (whitehouse) zilizohusu pasaka miaka ya nyuma zilifutwa ili kupisha siku shughuli za Transgender visibility day hapo ikulu,

Trump alionyesha kukasirishwa kwa maamuzi haya na kumsihi Biden awaombe msamaha mamilioni ya wakristo
 
Japo trump anachukuwa na blacks wengi ila ni msema kweli na mzalendo kwa nchi yake
Idadi ya wamarekani weusi wanaompigia kura Trump kwa sasa imeongezeka, Waliwapa nafasi Biden na Harris matokeo yake wamevuruga nchi maisha yamekuwa magumu kuzidi awamu ya Trump, wanarudi kwenye afadhali kwa kumpa kura Trump.
 
Uchaguzi wa this time marekani ni mgumu.
Ila all in all, yoyote yule ataingia ikulu ya white house atakuwa na kibarua kigumu sana.
 
Idadi ya wamarekani weusi wanaompigia kura Trump kwa sasa imeongezeka, Waliwapa nafasi Biden na Harris matokeo yake wamevuruga nchi maisha yamekuwa magumu kuzidi awamu ya Trump, wanarudi kwenye afadhali kwa kumpa kura Trump.
Shida mjamaica hayupo serious anaona kama ni vikao vya kuvunja vikoba.

Acha huyu huyu tuliyemkataa ainyooshe dunia tumejisahau sana
 
Wamarekani hata sio wa kuhangaika nao maana Leo Wana trump hata akiwapa Kila kitu na hizo gharama kushuka kesho yake akikanyaga mkia wa paka utasikia hatumtaki anatesa wanyama wanaweka mdemons mwingine kesho yake tena hawataki ni vuluvulu
 
Economy ya US Iko vizuri sana sasa, siwaelewi mnaongea nini na sijui mnaishi wapi? Inflation imeshuka na kuna kazi kuliko wanaotafuta kazi, makampuni yanafungwa kwa kukosa wafanyakazi
 
Back
Top Bottom