The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Ukraine ikikubali kuachwa nyuma na kulazimishwa kukubali shinikizo na maridhiano ambayo haijahusika kuandaa litakuwa jambo la kushangaza.Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin watakutana Alaska Ijumaa ijayo kujadili mustakabali wa vita vya Ukraine.
Trump alitangaza mkutano wa Agosti 15 kwenye mitandao ya kijamii na baadaye ikathibitishwa na msemaji wa Kremlin, ambaye alisema eneo hilo lilikuwa "lina mantiki kabisa" kwa kuzingatia ukaribu wa Alaska na Urusi.
Msemaji huyo aliongeza kuwa Trump amealikwa nchini Urusi kwa mkutano huo wa pili unaotarajiwa.
Hakukuwa na majibu ya haraka kutoka Ukraine. Tangazo la mkutano huo lilikuja saa chache baada ya Trump kuashiria kwamba Ukraine inaweza kulazimika kuliacha eneo lake ili kumaliza vita, ambavyo vilianza na uvamizi kamili wa Urusi kwa jirani yake mnamo Februari 2022.
"Unaangalia eneo ambalo limepiganiwa kwa miaka mitatu na nusu, Warusi wengi wamekufa. Watu wengi wa Ukraine wamekufa," Trump alisema katika Ikulu ya White House siku ya Ijumaa.
Mshirika wa BBC wa Marekani CBS News, ikinukuu vyanzo vinavyofahamu mazungumzo hayo, inaripoti kwamba Ikulu ya White House inajaribu kuwashawishi viongozi wa Ulaya kukubali makubaliano ambayo yatajumuisha Urusi kuchukua eneo lote la Donbas mashariki mwa Ukraine na kuiacha Crimea.
Ukraine Haina card,Ukraine ikikubali kuachwa nyuma na kulazimishwa kukubali shinikizo na maridhiano ambayo haijahusika kuandaa litakuwa jambo la kushangaza.
Maoni ushuzi ya mjambaji kutoka mchamba wimaUkraine Haina card,
Haina silaha,Haina fedha,Haina ubavu peke yake wa kuishinda Urusi bila USA,
Haiwezi kujiunganishq na NATO bila nguvu ya USA,
Ukraine haiwezi kufanya chochote Urusi bila USA.
Ili isipotee Inabidi ikubali TU,kwa sababu ilifanya kosa la kukubali kutumika kuidhoofisha Urusi ambayo haidhoofishiki.
Hayo ndio maoni yako?Maoni ushuzi ya mjambaji kutoka mchamba wima
Wewe ni lazima utakua shoga TU,maana sio Kwa misemo hiyo.Maoni ushuzi ya mjambaji kutoka mchamba wima
We jipe promo tu mabahasha wapo humu wa kukunua master shoga ushuzi plusWewe ni lazima utakua shoga TU,maana sio Kwa misemo hiyo.
Pole sana kijana.
Bado hujaharibika sana ukitibiwa utapona TU.
Ah wapi? Miamba 2 ya dunia kwa sasa ni USA vs CHINA. urusi uchumi wake ni sawa na jimbo la texasmiamba wawili mesi na ronado πππ
Kosa hilo wala Zelensky hajalistukia mpaka sasa, ndio maana anaendelea kutumiwa na Viongozi wa EU na Uingereza kuendeleza mapigano -hawapendi kabisa Trump asitishe vita huko Ukraine, mpaka sasa bado wanataka kujumu mkutano baina ya Trump na Putin, wanataka eti "na wao washirikishwe kwenye mazunguzo ya huko Alaska" Trump ametumia busara kwa kupendekeza mkutano huo ufanyike Alaska ambako ni mbali kakisa na Bara la Ulaya hivyo si rahisi jamaa hawa kuvamia/jikaribisha kwenye mkutano ambao hawaja alikwa, hata Zelensky hakupewa mwaliko, iweje akina Macron watake kujitia kimbele mbele, wakiwa na lengo la kuhakikisha mkutano baina ya Trump na Putin haufanikiwi kisitisha VITA.Ukraine Haina card,
Haina silaha,Haina fedha,Haina ubavu peke yake wa kuishinda Urusi bila USA,
Haiwezi kujiunganishq na NATO bila nguvu ya USA,
Ukraine haiwezi kufanya chochote Urusi bila USA.
Ili isipotee Inabidi ikubali TU,kwa sababu ilifanya kosa la kukubali kutumika kuidhoofisha Urusi ambayo haidhoofishiki.
wanakubaka wewe sio bureAh wapi? Miamba 2 ya dunia kwa sasa ni USA vs CHINA. urusi uchumi wake ni sawa na jimbo la texas
Jibu hoja Fala wewe,Maoni ushuzi ya mjambaji kutoka mchamba wima