Trump: Sijafurahishwa na uteuzi wa Mojtaba mtoto wa Khamenei

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hajafurahishwa na taarifa kwamba Mojtaba Khamenei amepewa nafasi ya kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran baada ya kifo cha Ayatollah Ali Khamenei.

1773039934349.png
Trump ameeleza kuwa yeye anataka kuwa na sehemu katika kuchagua Kiongozi huyo, na kumtaja Mojtaba kama mtu asiyekubalika na kusema atahitaji idhini ya Marekani ili kuendelea kuwa Kiongozi bila matatizo.

1773040320714.png
Trump pia amesema kwamba kiongozi huyo hataishi muda mrefu bila idhini ya Marekani.

Pia, soma > Mojtaba Khamenei achaguliwa kumrithi hayati baba yake

Hii kauli imekuja katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa na kijeshi kati ya Marekani, Israel na Iran, ambapo Iran tayari imemchagua Mojtaba Khamenei kuwa Kiongozi Mkuu wake mpya.
 
Kwanza kabla hatujalaum mfumo wa kidemoklasia wa dunia asa kwa usa na uyu bwana TRAMP inabidi tukumbuke kua trampu sio muumini wa democ ata chama chake pia hakiamini iyo misingi isipokua huaga wanaigizaga tu ili kukamilisha lengo
 
Rais anayependa ku trend kwenye social media
 
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hajafurahishwa na taarifa kwamba Mojtaba Khamenei amepewa nafasi ya kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran baada ya kifo cha Ayatollah Ali Khamenei.

Trump ameeleza kuwa yeye anataka kuwa na sehemu katika kuchagua Kiongozi huyo, na kumtaja Mojtaba kama mtu asiyekubalika na kusema atahitaji idhini ya Marekani ili kuendelea kuwa Kiongozi bila matatizo.

Trump pia amesema kwamba kiongozi huyo hataishi muda mrefu bila idhini ya Marekani.

Pia, soma > Mojtaba Khamenei achaguliwa kumrithi hayati baba yake

Hii kauli imekuja katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa na kijeshi kati ya Marekani, Israel na Iran, ambapo Iran tayari imemchagua Mojtaba Khamenei kuwa Kiongozi Mkuu wake mpya.
Hiyo Mojtaba ashajitoa sadaka kama viongozi wa Hamasi
 
Back
Top Bottom