Trump: Sioni umuhimu wa Kukutana na Papa Leo XIV

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hana mpango wa kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, kufuatia tofauti zao za wazi kuhusu suala la Iran na umiliki wa silaha za Nyuklia.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Trump amesisitiza msimamo wake kuwa Iran haipaswi kuruhusiwa kumiliki silaha za Nyuklia, akidai taifa hilo limehusika katika matukio mbalimbali ya vurugu yaliyosababisha vifo vya raia wasio na hatia.

Alipoulizwa kama yuko tayari kukutana na Papa ili kupunguza mvutano huo, Trump alijibu kwa kifupi kuwa haoni umuhimu wa kufanya hivyo kwa sasa.

Hata hivyo, Trump ameeleza kuwa hana uadui binafsi na Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki, akibainisha kuwa tofauti yao ni ya kimtazamo kuhusu masuala ya kimataifa, huku akigusia pia kuwa ndugu wa Papa anaunga mkono vuguvugu lake la kisiasa la MAGA (Make America Great Again)
 
Pope aanze kampeni Republican ipigwe chini next election
 
Huyo Islamist Pope ameisha jiweka kwenye line ya Dini yake ya Kikatoliki kupigwa marufuku. Ufunuo 17 inazungumzia kuhusu yule Kahaba ambaye awali alikuwa akimpanda yule mnyama mwenye pembe kumi (Serikali za Dunia nzima) huyo kahaba pia anajulikana kwa jina la Babilon Mkubwa(Himaya ya Dini za Uongo). Yule mnyama atamgeuka yule kahaba na kumteketeza kabisa. Huyo Kahaba ni Dini zote zinazodai kumtumikia Mungu, ilihali zikiwa na uswahiba wa karibu na Serikali za Dunia hii. Dini hizo ni Sunni, Shiite, Roman Catholic, Church of England and Anglican, Hindu, Buddhist, Christian Orthodox, Seventh Day na dini nyingine.
Wanaenda kustaabishwa na marufuku inayokuja hivi karibuni kabla ya 2029
 
Sijui wenzetu hizi hadithi mnaziaminije
Yaani USA ilifute kanisa katoliki lenye waamini zaidi ya bilioni 2 mbona ni jambo ambalo never ever kuja kutokea
 
Back
Top Bottom