TRUMP: Sitizami soko la hisa

TRUMP: Sitizami soko la hisa

Mimi mwenyewe kanifurahisha tajiri gani asiyetazama kuhusu mwenendo wa soko la hisa
Historia ya kwao mpaka kuwa matajili kuna kipindi kulitokea mdororo wa uchumi USA walinunua nyumba nyingi na maeneo na leo wanajifanya kama hawafahamu.

Unajua matajiri wanajifanya kama hawapo ili waendelee kuwa matajiri kwenye mbinu
 
Bora wewe umeliona hili kwa jicho la ndani
 
Vipi kama ikiwa wapo watu wanaoangalia kwaajili yake?... Kwanza trump sijui hata kaongeza vitu gani kwenye urithi alioachiwa na Mzee wake.
 
Back
Top Bottom