Trump: Sitomrudisha Prince Harry kwao kwa sababu matatizo anayokumbana nayo kutoka kwa mke wake ni makubwa na adhabu tosha

Trump: Sitomrudisha Prince Harry kwao kwa sababu matatizo anayokumbana nayo kutoka kwa mke wake ni makubwa na adhabu tosha

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Rais Donald Trump amesema kwamba hana mpango wa kumwondoa Prince Harry nchini humo.

Hii ni baada ya Heritage Foundation kudai kuwa Harry alificha matumizi ya dawa za kulevya yaliyopaswa kumzuia kupata visa ya Marekani.

Trump aliiambia New York Post kuwa hataki kumtoa Harry Marekani na akaongeza, "Nitamwacha. Ana matatizo ya kutosha na mke wake.

Pia, Trump alimsifu Prince William, akisema ni kijana mzuri, baada ya kukutana naye Paris katika ufunguzi wa Notre-Dame Cathedral.

Trump, ambaye mara kadhaa ameonyesha kutofurahishwa na Meghan Markle, alisema Harry anadanganywa na mke wake.

=============================================

Prince Harry can breathe freely in Montecito, because President Donald Trump has ruled out deporting the self-exiled British royal.

Harry’s immigration status is the subject of litigation in Washington DC, with the Heritage Foundation alleging that he may have concealed past illegal drug use that should have disqualified him from obtaining a US visa.

But the president told The New York Post Friday that he isn’t interested in throwing Harry out of the country.

“I don’t want to do that,” he said.

“I’ll leave him alone. He’s got enough problems with his wife. She’s terrible.”

Trump took the opportunity to praise Harry’s estranged older brother William, with whom he met privately in Paris in December during the reopening ceremony of Notre-Dame Cathedral.

“I think William is a great young man,” he said.

The Duke of Sussex and his liberal American wife Meghan Markle have voiced disapproval of Trump over the years, including one outburst in which the Duchess called the president “divisive” and “misogynistic.”

Trump in turn has described Harry as “whipped” by Markle.

“I think poor Harry is being led around by the nose.”
 
Mama ake alisema lakini
 

Attachments

  • IMG-20250208-WA0015.jpg
    IMG-20250208-WA0015.jpg
    51.5 KB · Views: 4
Mimi huwa ni ngumu sana kuamini hbari za mitandoni, maana unaweza kutengeneza fake tweets mtandaoni, fake news papers mtndaoni.Sasa mtu ana status ya Marriage na Raia wa Marekani una mdeport vipi? au kuna kosa lingine amefanya?
 
Back
Top Bottom