Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Trump utamchukia ila unajkuta anakuchekesha tu🤣🤣Ila trump ni comedian sana. Alisema wazi wazi hampendi Meghan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump utamchukia ila unajkuta anakuchekesha tu🤣🤣Ila trump ni comedian sana. Alisema wazi wazi hampendi Meghan
Kuna weusi na waarabu waliozamia kupitia ulaya uingereza na ujeruman wanarudishwa 🤣🤣 ila ndugu zake hajawagusaTrump hawezi kuchezea ufalme wa uingereza na Wala hawezi kudeport wazungu wa west hasa wa uingereza na Germany
Kuna weusi na waarabu waliozamia kupitia ulaya uingereza na ujeruman wanarudishwa 🤣🤣 ila ndugu zake hajawagusaTrump hawezi kuchezea ufalme wa uingereza na Wala hawezi kudeport wazungu wa west hasa wa uingereza na Germany
Yaani huyu jamaa mbaguzi sana, unaona namna anavyopambana kuwalazimisha masetler wa kizungu wahamie Marekani ila wao wamemugomea.Kuna weusi na waarabu waliozamia kupitia ulaya uingereza na ujeruman wanarudishwa 🤣🤣 ila ndugu zake hajawagusa
So far faza kuna mambo anazingua but kuna mengine yupo correct kabisa hasa mambo ya kijamii,ni binadamu kama sisi tu kuna tunafanya vizuri kuna tunayochemsha.Mama ake alisema lakini
Hivi huyu ni yule alioaga black hata akalalamika familia imembagua?Kama hata Trump anamuogopa huyo mwannamke ni hatari
Nadhani ndiyeHivi huyu ni yule alioaga black hata akalalamika familia imembagua?
Himaya ya kifalme ilimkataa mke wa Prince kwakua ni mweusi, then Prince akaamua kuukana ufalme na akahamua kwa mmatumbi....😜Duuh hadi Prince ana visanga na wife wake? 🤔🙌
Daah! Mkuu basi inaonekana huyo mmatumbi ni fundi kweli kweli kwenye moja na mbili 😁Himaya ya kifalme ilimkataa mke wa Prince kwakua ni mweusi, then Prince akaamua kuukana ufalme na akahamua kwa mmatumbi....😜
Kinacho mpata dunia nzima inamhurumia hadi Trump akaamua aokoe jahazi ili kataa ndoa tusije tukachukua point..🤣
HahahahaHata sisi hatujui tunachokitaka 🐒
Ndoa ni kwa watu maalumu na wenye akili tu, werevu wanafaidi ndoa..! wapumbavu hakuna ruksa ya kuwa kwenye ndoaNdoa siku hizi ni pasua kichwa
Mwamba ameanza kunyonga tai kitambo sn naona ndio utambulisho wake huoMama ake alisema lakini
Ndugu zake hao.Trump hawezi kuchezea ufalme wa uingereza na Wala hawezi kudeport wazungu wa west hasa wa uingereza na Germany