Trump: Sitomrudisha Prince Harry kwao kwa sababu matatizo anayokumbana nayo kutoka kwa mke wake ni makubwa na adhabu tosha

Trump: Sitomrudisha Prince Harry kwao kwa sababu matatizo anayokumbana nayo kutoka kwa mke wake ni makubwa na adhabu tosha

Kama hata Trump anamuogopa huyo mwannamke ni hatari

1739083853099.png
 
Himaya ya kifalme ilimkataa mke wa Prince kwakua ni mweusi, then Prince akaamua kuukana ufalme na akahamua kwa mmatumbi....😜
Kinacho mpata dunia nzima inamhurumia hadi Trump akaamua aokoe jahazi ili kataa ndoa tusije tukachukua point..🤣
Daah! Mkuu basi inaonekana huyo mmatumbi ni fundi kweli kweli kwenye moja na mbili 😁
 
Back
Top Bottom