Kataa ndoa wamepata ushindi wa super yani point 12ππππsisiemu ni π©πππππππ
https://x.com/bennyjohnson/status/1888261816922341495?t=ug-eB08DZJH8ptQk7Wsuug&s=19
Hapo ndipo ninapomuona Trump kama mtu wa kipekee mno, yeye mwenyewe anasema hilo, alikuwa tajiri,akafilisika kabisa, akapambana akawa tajiri kuliko mwanzo, alikataliwa hadi na viongozi wengi wa chama chake, lakini akawa rais, kumbe hadi mama yake alimwona kama mjinga tu, ila ndiyo hivyo, sasa hivi ni rais kwa mara nyingine tena, what a man?Mama ake alisema lakini
Wala mama yake hakukosea hata kidogo,aligundua tangu zamani Kuwa mtoto wake anapenda kupayuka na kulopoka hovyo bila kufikiria, ili apate attention. Hata wanaomsapoti wengi ni kwasababu hiyo, huyu trump ana bipolar with maniac disorder.Mama ake alisema lakini
Mtu kama prince Harry anaweza kuishi Marekani bila vibali kweli ? Mbona Marekani ni Taifa la wahamiaji tupu japo kwa miaka tofauti.Mimi huwa ni ngumu sana kuamini hbari za mitandoni, maana unaweza kutengeneza fake tweets mtandaoni, fake news papers mtndaoni.Sasa mtu ana status ya Marriage na Raia wa Marekani una mdeport vipi? au kuna kosa lingine amefanya?
Na ni chizi fresh kweli.Kaa kizembe akufurahishe.Chizi yule π
Tafsiri Yako na kile kilichoandikwa haviendani,πππππππ
View: https://x.com/bennyjohnson/status/1888261816922341495?t=ug-eB08DZJH8ptQk7Wsuug&s=19
Prince unasumbuliwa na mwanamke! Kwa nini asiachane naye tuNdoa siku hizi ni pasua kichwa
Alidanganya wakati anajaza form kuingia USA, alidai haijawahi tumia dawa za kulevya..akajajichanganya kwenye mahojiano flan kwa aliwahi kutumia, kwa USA ni kosa la Moja kwa Moja kutimuliwaMimi huwa ni ngumu sana kuamini hbari za mitandoni, maana unaweza kutengeneza fake tweets mtandaoni, fake news papers mtndaoni.Sasa mtu ana status ya Marriage na Raia wa Marekani una mdeport vipi? au kuna kosa lingine amefanya?
Alisema wapi na lini?Mama ake alisema lakini
Limbwata siyo Afrika tu hadi huko ughaibuniPrince unasumbuliwa na mwanamke! Kwa nini asiachane naye tu
na anaweza akaachwa kabisaDuuh hadi Prince ana visanga na wife wake? π€π
Ni habari ya kweli MkuuMimi huwa ni ngumu sana kuamini hbari za mitandoni, maana unaweza kutengeneza fake tweets mtandaoni, fake news papers mtndaoni.Sasa mtu ana status ya Marriage na Raia wa Marekani una mdeport vipi? au kuna kosa lingine amefanya?
Ndoa sio pasua kichwa mnakuza coaches zenye shida kujustifyNdoa siku hizi ni pasua kichwa
Ndio na ni jambo la kheri...kama hauna mahusiano na Mungu ndoa ni pasua kichwa,inakua kama contract fulani tuu ya watu wawili...Yaani kuna vichwa hii weekend vinakula kiapo "till death do us part"
Mzaliwa wa royal family, wanapata anachotaka wakati anaotaka wanawake ni kisanga....Duuh hadi Prince ana visanga na wife wake? π€π